Mbinu ya Serikali kuzuia maandamano itaifilisi nchi

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
3,621
Reaction score
6,511
Kuna watu wanatoa maneno ya kejeli kuhusiana na ukimya uliotawala nchi nzima siku ya leo 09/12/2025.

Watu wasichojua ni gharama kubwa ambazo serikali na vyombo vyake imeingia siku ya leo kuendesha operation yake.

Kuanzia gharama za kusafirisha watu na vifaa, gharama za malazi ambapo maaskari na wapepelezi wengi sana wamesafirishwa na kulazwa katika maguest house na lodges, posho za watu wao wote. Operation ya leo tu imegharimu mabilioni ya pesa.

Sasa chukulia hii operation iendelee kesho, iendelee wiki nzima, iendelee hadi mwisho wa mwaka. Embu waza matrilioni mangapi yatatumika.

Kumbuka hapo hapo mapato ya kodi yanapungua kutokana na kushuka shughuli za biashara, kupungua watalii, nk. Hapo hapo wahisani wanapunguza sapoti yao katika bajeti ya serikali.

Endapo waandamanaji wakiendelea na mipango ya kukutania mijini kama wanavyopanga, mfano Mnazi Mmoja, Kariakoo, Posta, nk. ina maana hata serikali ikiamua kuwekeza nguvu kudhibiti maeneo hayo, bado athari za kiuchumi zitakuwa kubwa sana.

Mapato yakiendelea kupungua ina maana serikali itabidi ianze kuprint pesa kuendesha hizi operation. Kuprint pesa ina maana kutaanza kuwa na mfumuko wa bei. Wachumi wanajua yanayofuata baada ya hapo.

Ninachotaka kusema ni kwamba vita nyingi duniani, za silaha au zile za kidemokrasia zinapiganwa katika uchumi kwanza kabla hata risasi moja haijarushwa.
 
Kuna watu wanatoa maneno ya kejeli kuhusiana na ukimya uliotawala nchi nzima siku ya leo 09/12/2025.

Watu wasichojua ni gharama kubwa ambazo serikali na vyombo vyake imeingia siku ya leo kuendesha operation yake.

Kuanzia gharama za kusafirisha watu na vifaa, gharama za malazi ambapo maaskari na wapepelezi wengi sana wamesafirishwa na kulazwa katika maguest house na lodges, posho za watu wao wote. Operation ya leo tu imegharimu mabilioni ya pesa.

Sasa chukulia hii operation iendelee kesho, iendelee wiki nzima, iendelee hadi mwisho wa mwaka. Embu waza matrilioni mangapi yatatumika. Kumbuka hapo hapo mapato ya kodi yanapungua kutokana na kushuka shughuli za biashara, kupungua watalii, nk. Hapo hapo wahisani wanapunguza sapoti yao katika bajeti ya serikali.

Endapo waandamani wakiendelea na mipango ya kukutania mijini kama wanavyopanga, mfano Mnazi Mmoja, Kariakoo, Posta, nk. ina maana hata serikali ikiamua kuwekeza nguvu kudhibiti maeneo hayo, bado athari za kiuchumi zitakuwa kubwa sana.

We mpumbavu haujui kazi kubwa ya serikali ni kulinda Amani na usalama??
Sasa unafikiri Serikali itafikilisika kudeal na vibaka kama nyie sio??
Basi endelea kutoa uso wako anza vurugu utajua bajeti wanatoa wapi..!
 
Kwa hiyo wewe upo kwenye chungu unajua kilichopo kule? Au unadhani Una akili Sana kuliko hao wanaolinda? Unasema itakuwa endelevu Kwa. Hiyo Leo mmeandamana na mtaendelea kuandamana?
 
Wewe ni mjinga huwezi kuwanyamazisha watu wanaotaka haki kwa kutumia silaha.kama hawatabadilika ni suala la muda tu.

Kila siku nahubiri amani humu ndani kwa kusema kuwa kuna njia nyingi rahisi na za bei chee za kutatua matatizo haya yanayolikabili taifa kuliko hizo njia ambazo CCM na serikali yake imeamua kutumia. Namba hazidanganyi.

Tathmini hii ina nia ya kukumbusha hilo.
 
Njia pekee ambayo kibaka huisikia vizuri ni kummwaga utumbo ili vibaka wengine wakiona hawathubutu tena. Ndiyo maana mkishika wezi huwa mnawachoma na matairi
 
We mpumbavu haujui kazi kubwa ya serikali ni kulinda Amani na usalama??
Sasa unafikiri Serikali itafikilisika kudeal na vibaka kama nyie sio??
Basi endelea kutoa uso wako anza vurugu utajua bajeti wanatoa wapi..!
Wapumbavu kama nyinyi ndio mnapendwa na watawala walio na uwezo mdogo wa kutawala.
 
Back
Top Bottom