Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 2,211
- 3,517
Pale Ubungo Plaza nilifanyiwa hivyo mara ya kwanza....nikasema poa ngoja na kesho nije nione ...ikawa yale yale...
Nikaa siku mbili nikaenda tena na laki mbili nikafika dirishani kwa yule dada nikaanza kumpa noti moja bada ya nyingine nikamwambia tunahesabu kwa pamoja akataka azuie nikamwambia nadhani unanikumbuka juzi na jana kila nikikupa hela unaniambia imepungua elfu 10 ...au unataka nipige kelele! Akawa mpooole kimyaaa nikahesabu moja moja huku anaonyesha ushirikiano wa kutosha kabisa.