Mbinu ya kitoto iliyotegemewa na UKAWA!

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
MIMI NI MUUMINI MTIIFU WA SIASA ZA DR SLAA!!

MIMI NI CHADEMA ASILIA!!

Mara baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 Chadema chini ya ukatibu mkuu wa Dr Slaa iliendelea kupiga kelele nyingi moja ikiwa ni ya Dr Slaa kuibiwa kura lakini nyingine ikiwa ni kupambana na kuhitimisha utawala wa mafisadi.

Chadema pia iligundua mapema sana kuwa elimu ya kuikubali Chadema katika vijiji na mitaa haikufika sawasawa hivyo kulihitajika kazi kubwa kuwafikia wanavijiji na wanamitaa na kusimika ofisi za Chadema na mabalozi wa chadema huko 'site'

Kazi hii ilifanyika kwa ustadi mkubwa na matokeo yake tulianza kuyaona mwaka 2014 kwenye mnyukano wa uchaguzi wa serikali za mitaa.ambapo maeneo kama Arumeru mashariki kwa Nassari aliweza kuchukua vijiji zaidi ya 90 kutoka sufuri,pia Arusha mjini ambapo chadema ilizoa nusu ya mitaa yote ya jiji hilo.

Hiyo ni mifano ya kazi iliyofanywa na chadema kujijenga na kutambulika kwa wanachi ndio maana ilipokuja kwenye ubunge haikuwa kazi ngumu kwa chadema kushinda maeneo hayo.

Hata pamoja na ujio wa lowassa Chadema haikutakiwa kuacha mbinu iliyojiwekea yaani kuendelea kujenga chama kwenye msingi au kuendelea kujenga chama kama taasisi.

Badala yake chadema ilikuja na mbinu mbovu kabisa yakuwekeza kwenye mtu....mbaya zaidi mtu ambaye walimuita fisadi.

Chadema wakaikumbatia mbinu ya kuuza sura kwenye media...tukashuhidia picha za mafuriko za kutaka kuionesha CNN,BBC,ALJAZEERA n.k

Yaani chadema ikawekeza kwenye usanii wa kisiasa just to attract international media.

Kwa hili la kuvuta media za kimataifa walifanikiwa lakini aliyeneemeka ni Magufuli kwani kajikuta amepambwa katika siku yake ya kuzaliwa.

Mgombea wa Chadema alijiweka kwenye upande wa washindwa kuanzia siku ya kupiga kura pale aliposema hatakubali matokeo.

Mgombea wa chadema akakurupuka wakati matokeo yanatangazwa na kuanza kuililia tume.

Hizi ni dalili za mtu anayetumia mbinu ya kutafuta media attention.

Ushauri wangu kwa chadema turudi vijijini tuanze mchakamchaka wa kusimika mabalozi wa chadema na wanachama watiifu kwa chadema ambao mwaka 2020 wataipigia kura chadema no matter what happens hawa ndio wafuasi walionao ccm.

2020 chadema iingie na mtaji wa wanachama kadhaa kama ilivyo ccm ili kampeni ziwalenge wachache wasio na itikadi.

Chadema asilia haiwezi kuishi kwa kutegemea hisani ya mataifa ya kizungu hii ni mbinu ya watu wasiojiamini kama wanaweza kuifluence changes.

GROW UP CDM ....

Hii ni kwa hisani ya Chadema asilia.
 
wew mleta mada tangulinj wew meningitis ukawa chadema asili?? acha unafiki na kutokwa povu,,,,watu wamepotezea unyang au na umafia mlioufanya kwnye uchagiz usifkiri wamekubaliana nahuo ungese,,,nibora ukakaa kimya usichokoze hisia za watu
 
team lowasa sijui wataenda chama gani na mfadhili wao atawatosa si muda mrefu kwani hawana maana kwake ni kama toileti paper
 
Meningitis Hujitambui
Na wala hukuwahi kuelwa falsafa ya movement ya uchaguzi huu....
Lala salama Bongo lala.....Mwanzoni nilifikir uko na akili ila siku zinavyoendelea unaniongezea wasiwasi
Enjoy

Usiishie kutukana nikosoe kwa hoja mkuu.

Ni falsafa mbovu ya chadema kuitumia...
 
Wameshafail hali wakamsaidie kufuga ngombe

Nani mwenye pesa mingi kati yako WEWE na huyo lowassa.

Kati yako wewe na Lowassa ni nani mwenye kipato cha UFUGAJI_NG'OMBE?....

Wizi wenu ndio umetufikisha hapa tulipo, na hata hili linaloendelea sasa kisiasa. WIZI.
 
Chadema chini ya sultani mbowe haifiki popote
 
U have dissappointed me....
Mimi nilikuwa nakuchukulia kama msomi...Unajua hata ukiwa mwanachama wa chama fulani tunategemea bado usomi wako utake precedence katika masuala muhimu yakitaifa.

sasa wewe unakiri ni muumini wa slaa....so kwenye uchaguzi hukuwa na dira wala hukuwa na alternative so to say....kwa sbb slaa hakuwepo............

kuwa objective katika mijadala yako hata kama una upenzi wa chama fulani,
Sio siri uchaguzi huu u etawaliwa na ubakaji mkubwa wa haki ya mpiga kura ....lakini wewe unajaribu kukusoa vitu visivyo na mahusiano ya karibu.....pia nafikiri kwa sababu unaandika kwa vidole na u have chosen to be anonymous.....so u feel like you can writte anything..

Pole taratibu ukiendelea hivi utaishia kuwa mtu wa ajabu kwa kupotezq ule umahiri ambao nilihisi unao pale awali.

Siku Njema

Usiishie kutukana nikosoe kwa hoja mkuu.

Ni falsafa mbovu ya chadema kuitumia...
 
team lowasa sijui wataenda chama gani na mfadhili wao atawatosa si muda mrefu kwani hawana maana kwake ni kama toileti paper

Hawana njaa, wala sio ombaomba waliokosa milo mitatu na zaidi kwa siku.

Wana mahitaji yote ya msingi...vingine hivi, k.v siasa, ni UCHUNGU pekee na maisha magum walio nayo watanzania wengi waishio chini ya MSITARI WA UMASKINI.,...Ambao wengi wao hawazijui haki zao, na hata unyonyaji na dhuluma mnazowatendea.

"There is nothing that'll survive forever....every entity, however strong it may be, WILL PERISH.",.........for the matter of CCM, time will tell for its downfall."

HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA.
 
Sasa hivi ni muda muafaka kwa Chadema kurudi kwenye misingi yake awali, Kwenye ofisi ya Katibu Mkuu Dr.Slaa bado kuna mafaili ya mipango ya muda mfupi na muda mrefu .

Maana kwenye huu uchaguzi Chadema hakijashiriki kabisa, ila Lowassa ndio ameshiriki kupitia Chadema.

Kuteleza sio kuanguka bado tuna nafasi ya kujisahihisha, hoja ya ufisadi bado inamshiko.... Mbowe kama ulifumba macho bila aibu ukamsafisha Lowassa na kumpa chama ili atumie kugombea Urais..... Kwa kutumia huohuo ujasiri irudue hoja ya ufisadi bila aibu, japo itakua aibu lakini hakuna namna.

Kwa wananchi wengi kinachowaumiza zaidi ni ufisadi na sio mfumo kama ulivyojaribu kutuaminisha!
 
MIMI NI MUUMINI MTIIFU WA SIASA ZA DR SLAA!!

MIMI NI CHADEMA ASILIA!!

Mara baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 Chadema chini ya ukatibu mkuu wa Dr Slaa iliendelea kupiga kelele nyingi moja ikiwa ni ya Dr Slaa kuibiwa kura lakini nyingine ikiwa ni kupambana na kuhitimisha utawala wa mafisadi.

Chadema pia iligundua mapema sana kuwa elimu ya kuikubali Chadema katika vijiji na mitaa haikufika sawasawa hivyo kulihitajika kazi kubwa kuwafikia wanavijiji na wanamitaa na kusimika ofisi za Chadema na mabalozi wa chadema huko 'site'

Kazi hii ilifanyika kwa ustadi mkubwa na matokeo yake tulianza kuyaona mwaka 2014 kwenye mnyukano wa uchaguzi wa serikali za mitaa.ambapo maeneo kama Arumeru mashariki kwa Nassari aliweza kuchukua vijiji zaidi ya 90 kutoka sufuri,pia Arusha mjini ambapo chadema ilizoa nusu ya mitaa yote ya jiji hilo.

Hiyo ni mifano ya kazi iliyofanywa na chadema kujijenga na kutambulika kwa wanachi ndio maana ilipokuja kwenye ubunge haikuwa kazi ngumu kwa chadema kushinda maeneo hayo.

Hata pamoja na ujio wa lowassa Chadema haikutakiwa kuacha mbinu iliyojiwekea yaani kuendelea kujenga chama kwenye msingi au kuendelea kujenga chama kama taasisi.

Badala yake chadema ilikuja na mbinu mbovu kabisa yakuwekeza kwenye mtu....mbaya zaidi mtu ambaye walimuita fisadi.

Chadema wakaikumbatia mbinu ya kuuza sura kwenye media...tukashuhidia picha za mafuriko za kutaka kuionesha CNN,BBC,ALJAZEERA n.k

Yaani chadema ikawekeza kwenye usanii wa kisiasa just to attract international media.

Kwa hili la kuvuta media za kimataifa walifanikiwa lakini aliyeneemeka ni Magufuli kwani kajikuta amepambwa katika siku yake ya kuzaliwa.

Mgombea wa Chadema alijiweka kwenye upande wa washindwa kuanzia siku ya kupiga kura pale aliposema hatakubali matokeo.

Mgombea wa chadema akakurupuka wakati matokeo yanatangazwa na kuanza kuililia tume.

Hizi ni dalili za mtu anayetumia mbinu ya kutafuta media attention.

Ushauri wangu kwa chadema turudi vijijini tuanze mchakamchaka wa kusimika mabalozi wa chadema na wanachama watiifu kwa chadema ambao mwaka 2020 wataipigia kura chadema no matter what happens hawa ndio wafuasi walionao ccm.

2020 chadema iingie na mtaji wa wanachama kadhaa kama ilivyo ccm ili kampeni ziwalenge wachache wasio na itikadi.

Chadema asilia haiwezi kuishi kwa kutegemea hisani ya mataifa ya kizungu hii ni mbinu ya watu wasiojiamini kama wanaweza kuifluence changes.

GROW UP CDM ....

Hii ni kwa hisani ya Chadema asilia.

Tangu lini umebadilika?

UDHALIMU na HAKI are complements of each other.

Kama udhalimu ukifikia 100%, bas ujue haki imefinywa na kubanwa hadi 0%.

Ili haki itamalaki, ni lazima udhalim upigwe vita na WATU WALIO NA AKILI TIMAM...hadi udhalim uwe 0%, na hapo ndipo watu maskini watashangilia maana haki itafikia 100%.

Kwa mantiki hii, mapambano hayakomi, japo yanaweza kudhoofishwa....ni mpaka HAKI ipatikane.

ALUTA CONTINUA...Mapambano yanaendelea..., BARA na VISIWANI.
 
Tume ya Lubuva NECCM haijalishi wewe ni cdm asili, cdm Lowassa wala umejipangaje kama taasis, wao lao ni moja tu. CCM ishinde.
 
MIMI NI MUUMINI MTIIFU WA SIASA ZA DR SLAA!!

MIMI NI CHADEMA ASILIA!!

Mara baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 Chadema chini ya ukatibu mkuu wa Dr Slaa iliendelea kupiga kelele nyingi moja ikiwa ni ya Dr Slaa kuibiwa kura lakini nyingine ikiwa ni kupambana na kuhitimisha utawala wa mafisadi.

Chadema pia iligundua mapema sana kuwa elimu ya kuikubali Chadema katika vijiji na mitaa haikufika sawasawa hivyo kulihitajika kazi kubwa kuwafikia wanavijiji na wanamitaa na kusimika ofisi za Chadema na mabalozi wa chadema huko 'site'

Kazi hii ilifanyika kwa ustadi mkubwa na matokeo yake tulianza kuyaona mwaka 2014 kwenye mnyukano wa uchaguzi wa serikali za mitaa.ambapo maeneo kama Arumeru mashariki kwa Nassari aliweza kuchukua vijiji zaidi ya 90 kutoka sufuri,pia Arusha mjini ambapo chadema ilizoa nusu ya mitaa yote ya jiji hilo.

Hiyo ni mifano ya kazi iliyofanywa na chadema kujijenga na kutambulika kwa wanachi ndio maana ilipokuja kwenye ubunge haikuwa kazi ngumu kwa chadema kushinda maeneo hayo.

Hata pamoja na ujio wa lowassa Chadema haikutakiwa kuacha mbinu iliyojiwekea yaani kuendelea kujenga chama kwenye msingi au kuendelea kujenga chama kama taasisi.

Badala yake chadema ilikuja na mbinu mbovu kabisa yakuwekeza kwenye mtu....mbaya zaidi mtu ambaye walimuita fisadi.

Chadema wakaikumbatia mbinu ya kuuza sura kwenye media...tukashuhidia picha za mafuriko za kutaka kuionesha CNN,BBC,ALJAZEERA n.k

Yaani chadema ikawekeza kwenye usanii wa kisiasa just to attract international media.

Kwa hili la kuvuta media za kimataifa walifanikiwa lakini aliyeneemeka ni Magufuli kwani kajikuta amepambwa katika siku yake ya kuzaliwa.

Mgombea wa Chadema alijiweka kwenye upande wa washindwa kuanzia siku ya kupiga kura pale aliposema hatakubali matokeo.

Mgombea wa chadema akakurupuka wakati matokeo yanatangazwa na kuanza kuililia tume.

Hizi ni dalili za mtu anayetumia mbinu ya kutafuta media attention.

Ushauri wangu kwa chadema turudi vijijini tuanze mchakamchaka wa kusimika mabalozi wa chadema na wanachama watiifu kwa chadema ambao mwaka 2020 wataipigia kura chadema no matter what happens hawa ndio wafuasi walionao ccm.

2020 chadema iingie na mtaji wa wanachama kadhaa kama ilivyo ccm ili kampeni ziwalenge wachache wasio na itikadi.

Chadema asilia haiwezi kuishi kwa kutegemea hisani ya mataifa ya kizungu hii ni mbinu ya watu wasiojiamini kama wanaweza kuifluence changes.

GROW UP CDM ....

Hii ni kwa hisani ya Chadema asilia.
Kamanda umesema ukweli kabisa. Chadema mafisadi walitumia mbinu za kitoto sana. Inawezekanaje kufanya usanii kwenye mambo ya kitaifa? Mtu amekuwa akisakamwa kwa ufisadi miaka yooote tena sisi wenyewe tukiongoza mapambano haya, Lissu na Dr Slaa wakiwa waandishi wa ile list of shame! Na kuitangaza hadharani. Leo hii eti wanamsafisha kirahisi tuu na kufikiri wananchi ni wajinga hivyo. Eti leo ni msafi. Basi ajenda kubwa iliyokuwa ikitubeba ya ufisadi ikafia hapo. Na wala haitaweza ibuka tena.
Walimdharau Dr Slaa kwa kuchukua maamuzi yale na kumpuuza bila kujua kuna kundi kubwa sana lilichagua mabadiliko nyuma ya mgongo wake. Alivyojitoa na kundi lile asilimia labda 60 nao waliondoka nae. Hawakukubali uhuni huu waliofanyiwa. Lakini viongozi hawajui hilo. Ni baadhi ya madonda ambayo yameacha makovu ambayo sijui watayasafishaje.
 
Tume ya Lubuva NECCM haijalishi wewe ni cdm asili, cdm Lowassa wala umejipangaje kama taasis, wao lao ni moja tu. CCM ishinde.

...na ndivyo ilivyo...KAMA UNA BISHA. ..Ninakupa case-study ni ZEC ya Zanzibar.
..ZEC na NEC wanafahamiana, tabia zao ni zilezile.

Kifupi ni kwamba, INABIDI, either..
1. Ujitoe Ufaham,
2. Uwe na maslahi binafsi OR
3. Uwe insane
4. Uwe ni mfanyakazi nyuma ya ccm

.....ndipo unaweza kuitetea ccm.

Vinginevyo, HAUWEZI.
 
Nani mwenye pesa mingi kati yako WEWE na huyo lowassa.

Kati yako wewe na Lowassa ni nani mwenye kipato cha UFUGAJI_NG'OMBE?....

Wizi wenu ndio umetufikisha hapa tulipo, na hata hili linaloendelea sasa kisiasa. WIZI.

mnachekesha nyie, mnawabunge 30+ halafu mnajipa moyo kuibiwa kura za urais inaingia akilini? mbowe na Lowasa wameharibu sana harakati.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom