Mbinu ya kitoto iliyotegemewa na UKAWA!

Sasa hivi ni muda muafaka kwa Chadema kurudi kwenye misingi yake awali, Kwenye ofisi ya Katibu Mkuu Dr.Slaa bado kuna mafaili ya mipango ya muda mfupi na muda mrefu .

Maana kwenye huu uchaguzi Chadema hakijashiriki kabisa, ila Lowassa ndio ameshiriki kupitia Chadema.

Kuteleza sio kuanguka bado tuna nafasi ya kujisahihisha, hoja ya ufisadi bado inamshiko.... Mbowe kama ulifumba macho bila aibu ukamsafisha Lowassa na kumpa chama ili atumie kugombea Urais..... Kwa kutumia huohuo ujasiri irudue hoja ya ufisadi bila aibu, japo itakua aibu lakini hakuna namna.

Kwa wananchi wengi kinachowaumiza zaidi ni ufisadi na sio mfumo kama ulivyojaribu kutuaminisha!
Mkuu ilibidi Mbowe afanye hivyo kwa sababu wanasema alikuwa yupo kibiashara zaidi. Hata ingekuwa wewe kama umeamua kulamba mabilioni na kuuza utu wako na chama basi ilimbidi apindishe mstari. Tuhuma za yeye kununuliwa kwa sababu hakuwahi kuzikanusha nadhani zitakuwa za kweli. Hata Dr Slaa alisema. Mbowe ni mfanyabiashara sio kosa lake lakini. Siasa ni njia tu ya kutafutia mahela.
Huoni juzijuzi kasafirisha madola mamilioni kwenda nje. Ingawa chama kikanusha kupitia msemaji Makene kuwa pesa zile hazihusiani na chadema. Ni za biashara zake binafsi. Hii imekaaje.
Leo hii angekuwa ikulu akaamua kusafirisha mabilioni bado tungewezaje kupambanua kwamba hizi ni zake na sio pesa ya walipa kodi. Hatariiiiiii
 
mnachekesha nyie, mnawabunge 30+ halafu mnajipa moyo kuibiwa kura a urais inaingia akilini? mbowe na Lowasa wameharibu sana harakati.

Hayo majimbo 30 yenyewe unayoyabeza yamechukuliwa kwa mbinde na mashinikizo ya wananchi Ikijumuisha watu kukesha kulinda kura, vinginevyo mkakati ulikua futa upinzani kabisa kwa hila au halali. Kwa mantiki hiyo, usitumie kabisa kigezo cha wingi/uchache wa wabunge wa upinzani kutetea hujuma za matokeo ya urais.
 
Tatizo kuna watu wanataka kujustify makosa makubwa ya kubinafsisha urais kwa Lowasa ...Chadema ilikuwa inaiondoa CCM kwa hatua na hesabu zilikuwa zinaelekea kutimia hata kama si uchaguzi huu ...sasa tunajisafishaje mbele ya umma? Watanzania ni werevu mno tusijidanganye ...tumeharibu wahusika wawajibike tujenge upya chama kabla hakijafa kifo cha NCCR ....mbiu ya UKAWA ndio imeshajifia ...tunarudi tulikotoka ...
 
Kamanda umesema ukweli kabisa. Chadema mafisadi walitumia mbinu za kitoto sana. Inawezekanaje kufanya usanii kwenye mambo ya kitaifa? Mtu amekuwa akisakamwa kwa ufisadi miaka yooote tena sisi wenyewe tukiongoza mapambano haya, Lissu na Dr Slaa wakiwa waandishi wa ile list of shame! Na kuitangaza hadharani. Leo hii eti wanamsafisha kirahisi tuu na kufikiri wananchi ni wajinga hivyo. Eti leo ni msafi. Basi ajenda kubwa iliyokuwa ikitubeba ya ufisadi ikafia hapo. Na wala haitaweza ibuka tena.
Walimdharau Dr Slaa kwa kuchukua maamuzi yale na kumpuuza bila kujua kuna kundi kubwa sana lilichagua mabadiliko nyuma ya mgongo wake. Alivyojitoa na kundi lile asilimia labda 60 nao waliondoka nae. Hawakukubali uhuni huu waliofanyiwa. Lakini viongozi hawajui hilo. Ni baadhi ya madonda ambayo yameacha makovu ambayo sijui watayasafishaje.

Tatizo la wafuasi wa ukawa ni kutokutaka kusikia ukweli mchungu kwao, ukijaribu kuwashauri utaishia kupata matusi na hicho ndo kilicho wa cost kwenye uchaguzi huu, wala msitafute mchawi
 
Ukawa hamueleweki, kura za wabunge mlizozikubali nazo mmepigwa, msitafute pa kujishikia lowasa hakuchaguliwa na wengi
 
Mabadilikooooooo, Lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Lowassaaaaaaaaaaaaaaa, Mabadilikooooooooooooooooooooo! El alikuwa ajent wa CCM kuimaliza UKAWA ndiyo maana alikuwa hautubii sana katika mikutano yake! #Hapakazitu
 
MIMI NI MUUMINI MTIIFU WA SIASA ZA DR SLAA!!

MIMI NI CHADEMA ASILIA!!

Mara baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 Chadema chini ya ukatibu mkuu wa Dr Slaa iliendelea kupiga kelele nyingi moja ikiwa ni ya Dr Slaa kuibiwa kura lakini nyingine ikiwa ni kupambana na kuhitimisha utawala wa mafisadi.

Chadema pia iligundua mapema sana kuwa elimu ya kuikubali Chadema katika vijiji na mitaa haikufika sawasawa hivyo kulihitajika kazi kubwa kuwafikia wanavijiji na wanamitaa na kusimika ofisi za Chadema na mabalozi wa chadema huko 'site'

Kazi hii ilifanyika kwa ustadi mkubwa na matokeo yake tulianza kuyaona mwaka 2014 kwenye mnyukano wa uchaguzi wa serikali za mitaa.ambapo maeneo kama Arumeru mashariki kwa Nassari aliweza kuchukua vijiji zaidi ya 90 kutoka sufuri,pia Arusha mjini ambapo chadema ilizoa nusu ya mitaa yote ya jiji hilo.

Hiyo ni mifano ya kazi iliyofanywa na chadema kujijenga na kutambulika kwa wanachi ndio maana ilipokuja kwenye ubunge haikuwa kazi ngumu kwa chadema kushinda maeneo hayo.

Hata pamoja na ujio wa lowassa Chadema haikutakiwa kuacha mbinu iliyojiwekea yaani kuendelea kujenga chama kwenye msingi au kuendelea kujenga chama kama taasisi.

Badala yake chadema ilikuja na mbinu mbovu kabisa yakuwekeza kwenye mtu....mbaya zaidi mtu ambaye walimuita fisadi.

Chadema wakaikumbatia mbinu ya kuuza sura kwenye media...tukashuhidia picha za mafuriko za kutaka kuionesha CNN,BBC,ALJAZEERA n.k

Yaani chadema ikawekeza kwenye usanii wa kisiasa just to attract international media.

Kwa hili la kuvuta media za kimataifa walifanikiwa lakini aliyeneemeka ni Magufuli kwani kajikuta amepambwa katika siku yake ya kuzaliwa.

Mgombea wa Chadema alijiweka kwenye upande wa washindwa kuanzia siku ya kupiga kura pale aliposema hatakubali matokeo.

Mgombea wa chadema akakurupuka wakati matokeo yanatangazwa na kuanza kuililia tume.

Hizi ni dalili za mtu anayetumia mbinu ya kutafuta media attention.

Ushauri wangu kwa chadema turudi vijijini tuanze mchakamchaka wa kusimika mabalozi wa chadema na wanachama watiifu kwa chadema ambao mwaka 2020 wataipigia kura chadema no matter what happens hawa ndio wafuasi walionao ccm.

2020 chadema iingie na mtaji wa wanachama kadhaa kama ilivyo ccm ili kampeni ziwalenge wachache wasio na itikadi.

Chadema asilia haiwezi kuishi kwa kutegemea hisani ya mataifa ya kizungu hii ni mbinu ya watu wasiojiamini kama wanaweza kuifluence changes.

GROW UP CDM ....

Hii ni kwa hisani ya Chadema asilia.
Kwahiyo unakubali kwamba Lowasa ameshindwa,kutokana na sababu ulizozitoa...asante..
 
U have dissappointed me....
Mimi nilikuwa nakuchukulia kama msomi...Unajua hata ukiwa mwanachama wa chama fulani tunategemea bado usomi wako utake precedence katika masuala muhimu yakitaifa.

sasa wewe unakiri ni muumini wa slaa....so kwenye uchaguzi hukuwa na dira wala hukuwa na alternative so to say....kwa sbb slaa hakuwepo............

kuwa objective katika mijadala yako hata kama una upenzi wa chama fulani,
Sio siri uchaguzi huu u etawaliwa na ubakaji mkubwa wa haki ya mpiga kura ....lakini wewe unajaribu kukusoa vitu visivyo na mahusiano ya karibu.....pia nafikiri kwa sababu unaandika kwa vidole na u have chosen to be anonymous.....so u feel like you can writte anything..

Pole taratibu ukiendelea hivi utaishia kuwa mtu wa ajabu kwa kupotezq ule umahiri ambao nilihisi unao pale awali.

Siku Njema

Maneno maridaadi kabisa
 
Hayo majimbo 30 yenyewe unayoyabeza yamechukuliwa kwa mbinde na mashinikizo ya wananchi Ikijumuisha watu kukesha kulinda kura, vinginevyo mkakati ulikua futa upinzani kabisa kwa hila au halali. Kwa mantiki hiyo, usitumie kabisa kigezo cha wingi/uchache wa wabunge wa upinzani kutetea hujuma za matokeo ya urais.

kwa hiyo mliweza kshinikiza wabunge 30 tu ! .......... vipi kulinda kura ? mkuu wa Doria alipewa rushwa ?
 
Tatizo kuna watu wanataka kujustify makosa makubwa ya kubinafsisha urais kwa Lowasa ...Chadema ilikuwa inaiondoa CCM kwa hatua na hesabu zilikuwa zinaelekea kutimia hata kama si uchaguzi huu ...sasa tunajisafishaje mbele ya umma? Watanzania ni werevu mno tusijidanganye ...tumeharibu wahusika wawajibike tujenge upya chama kabla hakijafa kifo cha NCCR ....mbiu ya UKAWA ndio imeshajifia ...tunarudi tulikotoka ...

Akili yako njema sana,ilinde mno!
 
MIMI NI MUUMINI MTIIFU WA SIASA ZA DR SLAA!!

MIMI NI CHADEMA ASILIA!!

Mara baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 Chadema chini ya ukatibu mkuu wa Dr Slaa iliendelea kupiga kelele nyingi moja ikiwa ni ya Dr Slaa kuibiwa kura lakini nyingine ikiwa ni kupambana na kuhitimisha utawala wa mafisadi.

Chadema pia iligundua mapema sana kuwa elimu ya kuikubali Chadema katika vijiji na mitaa haikufika sawasawa hivyo kulihitajika kazi kubwa kuwafikia wanavijiji na wanamitaa na kusimika ofisi za Chadema na mabalozi wa chadema huko 'site'

Kazi hii ilifanyika kwa ustadi mkubwa na matokeo yake tulianza kuyaona mwaka 2014 kwenye mnyukano wa uchaguzi wa serikali za mitaa.ambapo maeneo kama Arumeru mashariki kwa Nassari aliweza kuchukua vijiji zaidi ya 90 kutoka sufuri,pia Arusha mjini ambapo chadema ilizoa nusu ya mitaa yote ya jiji hilo.

Hiyo ni mifano ya kazi iliyofanywa na chadema kujijenga na kutambulika kwa wanachi ndio maana ilipokuja kwenye ubunge haikuwa kazi ngumu kwa chadema kushinda maeneo hayo.

Hata pamoja na ujio wa lowassa Chadema haikutakiwa kuacha mbinu iliyojiwekea yaani kuendelea kujenga chama kwenye msingi au kuendelea kujenga chama kama taasisi.

Badala yake chadema ilikuja na mbinu mbovu kabisa yakuwekeza kwenye mtu....mbaya zaidi mtu ambaye walimuita fisadi.

Chadema wakaikumbatia mbinu ya kuuza sura kwenye media...tukashuhidia picha za mafuriko za kutaka kuionesha CNN,BBC,ALJAZEERA n.k

Yaani chadema ikawekeza kwenye usanii wa kisiasa just to attract international media.

Kwa hili la kuvuta media za kimataifa walifanikiwa lakini aliyeneemeka ni Magufuli kwani kajikuta amepambwa katika siku yake ya kuzaliwa.

Mgombea wa Chadema alijiweka kwenye upande wa washindwa kuanzia siku ya kupiga kura pale aliposema hatakubali matokeo.

Mgombea wa chadema akakurupuka wakati matokeo yanatangazwa na kuanza kuililia tume.

Hizi ni dalili za mtu anayetumia mbinu ya kutafuta media attention.

Ushauri wangu kwa chadema turudi vijijini tuanze mchakamchaka wa kusimika mabalozi wa chadema na wanachama watiifu kwa chadema ambao mwaka 2020 wataipigia kura chadema no matter what happens hawa ndio wafuasi walionao ccm.

2020 chadema iingie na mtaji wa wanachama kadhaa kama ilivyo ccm ili kampeni ziwalenge wachache wasio na itikadi.

Chadema asilia haiwezi kuishi kwa kutegemea hisani ya mataifa ya kizungu hii ni mbinu ya watu wasiojiamini kama wanaweza kuifluence changes.

GROW UP CDM ....

Hii ni kwa hisani ya Chadema asilia.

Achana nao, CDM ishanunuliwa.
Saivi kazi ni moja tu, kukisahau Chadema Kwa miaka ishirini ivi.
 
Mara baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 Chadema chini ya ukatibu mkuu wa Dr Slaa iliendelea kupiga kelele nyingi moja ikiwa ni ya Dr Slaa kuibiwa kura lakini nyingine ikiwa ni kupambana na kuhitimisha utawala wa mafisadi.
Ni kweli hizi zilikuwa kele za cdm lakini zilipelekea baraza la mawaziri kuanguka mara ngapi!?
Na kama wakati huo waliishia kupiga kelele 'vijiweni' wakijiandaa kupambana na uchakachuaji wa 'nyuma ya pazia', wote tunaona mapambano haya yamezaa matunda maana nyuma ya pazia imeshndikana na klichotokea ni uchakachuaji wa sebureni au tuseme uwanjani. Naamini kwa trends hizi, miaka 5 hawatapiga hata kampeini bali watawaamrisha wtu wasipige kura kabisa na badala ya magari 700 yataletwa 14,000!
Kwa hiyo badala ya kukaa na kulalamika angalau wamefanya kitu (experiment) kingine na ni lazma kitakuwa na matokeo bila kujali yatakuwa chanya au hasi!

Tatizo kuna watu wanataka kujustify makosa makubwa ya kubinafsisha urais kwa Lowasa ...Chadema ilikuwa inaiondoa CCM kwa hatua na hesabu zilikuwa zinaelekea kutimia hata kama si uchaguzi huu ...sasa tunajisafishaje mbele ya umma? Watanzania ni werevu mno tusijidanganye ...tumeharibu wahusika wawajibike tujenge upya chama kabla hakijafa kifo cha NCCR ....mbiu ya UKAWA ndio imeshajifia ...tunarudi tulikotoka ...

Wamrudishe kwanza Dr Slaa.

Mbowe aachie ngazi, kajidharirisha
 
Ni kweli hizi zilikuwa kele za cdm lakini zilipelekea baraza la mawaziri kuanguka mara ngapi!?
Na kama wakati huo waliishia kupiga kelele 'vijiweni' wakijiandaa kupambana na uchakachuaji wa 'nyuma ya pazia', wote tunaona mapambano haya yamezaa matunda maana nyuma ya pazia imeshndikana na klichotokea ni uchakachuaji wa sebureni au tuseme uwanjani. Naamini kwa trends hizi, miaka 5 hawatapiga hata kampeini bali watawaamrisha wtu wasipige kura kabisa na badala ya magari 700 yataletwa 14,000!
Kwa hiyo badala ya kukaa na kulalamika angalau wamefanya kitu (experiment) kingine na ni lazma kitakuwa na matokeo bila kujali yatakuwa chanya au hasi!

Wewe kweli Mweupe Kichwani! Mara zote Jk ndio alikuw Architecture wa kuangusha Serikal yake kwa sababu maalum ili kuwatoa Team Lowassa, kwny Richmond alitumwa Sitta na Mwakyembe kumchomoa Lowassa na Nazir karamagi, kwny Operation tokomeza Lengo ni kumchomoa Emmanuel Nchimbi, kwny Kwny Escrow Tibaijuka. Wengine kama Ibrahim Msabaha, Muhongo, Zakhia Meghji, Khamis kagashek, Shamsi nahodha walijikuta katikati ya Mapambano ikabidi lazima wang'oke tu hamna namna ili mradi Team Lowassa ishughulikiwe kwa Ustadi, hata Kimbisa aling'olewa umeya Dsm kwa maelekezo maalum
 
Hata pamoja na ujio wa lowassa Chadema haikutakiwa kuacha mbinu iliyojiwekea yaani kuendelea kujenga chama kwenye msingi au kuendelea kujenga chama kama taasisi.

Badala yake chadema ilikuja na mbinu mbovu kabisa yakuwekeza kwenye mtu...
.
Umesema alipofika Lowassa uwekezaji vijijini ungefanyika. Lowassa aliingia CHADEMA wakati uchaguzi umeshawadia. Huo uwekezaji ungefanyika lini? Uwekezaji unafanyika wakati wa kampeni? Au labda mimi sielewi maana ya uwekezaji? ELIMU ...
 
Back
Top Bottom