Hivi kuna leseni za kimataifa kuendesha gari?yan natoka zangu bongo naenda majuu nakamata usukani kama kawaida? Na kama zipo utaratibu wake ukoje?au wanatumia leseni gani kwa anaenda nchi za watu hususani ulaya? Msaada plz
RRONDOcc. prondo
Kiswahili kibovu kimetumika, au ni translated? Maana hata kilichoandikwa hakieleweki kwenye hiyo link..Pitia hapo unaweza saidika kidogo mkuu
Kuendesha gari nje ya nchi katika Ulaya - Mahitaji Kisheria | Usalama Barabarani | Satelitska navigacija
Well ngoja nitoe mfano wa UK ambapo nimeendesha gari kwa zaidi ya miaka 10. UK ukiwa unatoka TZ na una leseni unaruhusiwa kuitumia leseni hio kwa mwaka mmoja.Hivi kuna leseni za kimataifa kuendesha gari?yan natoka zangu bongo naenda majuu nakamata usukani kama kawaida? Na kama zipo utaratibu wake ukoje?au wanatumia leseni gani kwa anaenda nchi za watu hususani ulaya? Msaada plz
Thanks mkuuWell ngoja nitoe mfano wa UK ambapo nimeendesha gari kwa zaidi ya miaka 10. UK ukiwa unatoka TZ na una leseni unaruhusiwa kuitumia leseni hio kwa mwaka mmoja.
Baada ya mwaka mmoja NI LAZIMA ubadili uwe na LESENI ya UK, kwa maana hii ufuate taratibu zote za kupata driving license.
Disadvantage insurance premium yako itakuwa kubwa sana. Wenzetu wa SA,Zimbabwe wakiingia UK wanabadili leseni straight foward(inawezekana wamebadili huu utaratibu kwasababu ulikuwa abused sana)