Mbinu mpya za wanawake wa siku hizi wanaosaka ndoa kwa nguvu..Ni noma sana

Kikubwa kilichopo ni siku hiz wanawake wanataka kuolewa wakat wanaume hawana mpango soo jibu ni wanawake kuwa straight tuu mbinu zote now wanazofanya hazifui dafu
 
Hao ni wanawake wasiojitambua na wanaenda kwa wanaume wasiojitambua,,,,mwanamke anayejitambua hayuko hivyo na mwanaume anayejitambua hawezi fanya upuuzi huo hapo juu.
hamnaga kujitambua kwenye papichi, ww wajitambua kwenye papuchi , sema ukweli mungu anakuonaa!!!
 
Ujinga unaupenda sana. Hakuna ujinga kama hio yako ya kubadilisha wanawake kama nguo! Na hizo tabia zao hazijaku-cost bado.siku ukilivaa dumuzi ndio utajua cost ya hio tabia yako. Na hapo utajua ni yenye tag-name gani imekuambukiza.
 
Aisee mkuu ndio kilichonikuta mm. .yn binti chumba kimejaa mazagazaga yake 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…