Chadema/Ukawa walishashtuka kitambo ndo maana inatumika "Mabadilikoooo... Lowasaaaaaa..., Lowasaaaaaaaa... Mabadilikooooo!!!" yeye aige tu. tena namshauri aite abadilishe na jina la chama chake aite CHADEMA
Baba yako nikizazi cha ccm, CCM NI BABUYAKO
Ahsante mungu kwa kuwachanganya akili baya kwao wanaliona zuri hakika mungu ni mwaminifu
Kila njama wanayopanga tunawagundua , aisee huu mwaka wa ukawa
Babako ndiyo hajui kuongea kinyonga weww
Anatakiwa aongee kama Lowassa?
Lipo jambo linalomkwaza yule mama na wala sio suala la yeye kuwepo kazini. Tena ujue hata kama mumewe atafanikisha analokusudia yeye na chama chake kwa michezo yao haramu inayoweza kuishia kumwaga damu ya raia pia mama anaweza kukataa huo u-first lady na kumwambia mumewe aende mwenyewe ikulu nae akabaki na wanae wanapoishi. Yule mama anaonekana ni mchamungu wa kweli na anayaelewa vilivyo maovu na udhaifu wa mumewe nae hataki kuchafuka nae.Kwa kuwa nae bado anaiheshimu ndoa yake takatifu ndio maana bado yupo na huyu mume vinginevyo kwa wanawake wengine kwa Magufuli kuwa na wanawake wa nje hadi kuwahonga majumba na kusimamia mahoteli kama tunavyosoma humu jf inataka mwanamke aliefundwa kisawasawa. Usishangae hata ushawishi wa mama Maria usifue dafu pale.
Mbona mgombea urais kupitia Act mwandiga hafuatani na munewe
Paul Alex
Mimi binafsi nakushukuru kwa hilo ila kwa slaa naona wamechelewa sana maana hakuna mtanzania anaye msikikiza tena slaa
Nahisi slaa atazomewa sana akijaribu kupanda majukwaa ya ccm
Hata wamlete docta mihogo na lipumba.hiyo mbinu haitosaidia kitu.tena ndio wataharibu zaidi.watu wameamua sasa hivi.na hakuna wa wa kuwarudisha nyuma.wanamtaka huyo huyo mgojwa.
Tena mi naifurahia hii ya dr slaa kupanda majukwaani... mmm embu wamuweke kwenye hilo jukwaa...
Mnaenda kulala tulipoamkia halafu mnajiona wajanja?
Mi nitaanza kumsikiliza na kuzirudia hotuba zake ikiwa ni pamoja na kuzifanyia kazi kuanzia trh 26/10/2015
Hapa ishu inayojadiliwa ni Magufuli Na mwalimu.
hiyo ya Act fungulia Uzi mwingine
Kwanza kwenye hii issue ya M4C, vipi kuhusu mambo ya Intellectual Property na Copyright Laws...
Paul Alex
Mimi binafsi nakushukuru kwa hilo ila kwa slaa naona wamechelewa sana maana hakuna mtanzania anaye msikikiza tena slaa