Mbinu mpya ya CCM; Tuwe makini

Lowassa atakwenda kupiga picha ikulu tu hana lingine

Vipi uchunguzi wa uhamiaji dhidi ya mkongomani umefikia wapi? Eti kwao mwandiga😆😆😆😆😆😆
 
Hilo la kumtumia Slaa inabidi watafakari kwa kina yasije yakamsibu yale ya Mtikila kule Tarime alipokubali kutumika kama tambara mwishowe akapopolewa kwa mawe.

Slaa ataukosa mkono mwingine
 

Mkuu nakupa saluti kwa data. Unaonyesha uzalendo wa kweli.

Ningekuwa katika uongozi ukawa ningekutunuku cheo cha MKUU WA KITENGO CHA INTELIJENSIA .
 
Hata awe bubu anakwenda ikulu,hata awe vipi atashinda si hospitali zipo!Ehe hakuna namna sasa......
 


Huyu mama Magufuli hawezi kujiunga na kampeni kwa sababu atawaeleza nini Waalimu wenzake ambao wanadanganywa kila siku na serikali ya CCM.

Hivyo wasitegemee huyu mother kupiga kampeni.
 
Magufuli ni mbabe mpaka kwenye ndoa yake..kashamharibu mkewe kisaikolojia...hat a kipindi hiki muhimu anakosa support....apige mbizi mwenyewe sasa....
 
Mpaka kutaka kutumia m4c / inamaana ccm ni chama cha ujanja ujanja tu!
 
alipo tupo inatosha kabisa kuchoma kunguni na kitanda
 
Kuwepo kazini siyo hoja mbona salma alikuwa mwl lkn bado alishiriki kanpeini za kikwete?

Lipo jambo linalomkwaza yule mama na wala sio suala la yeye kuwepo kazini. Tena ujue hata kama mumewe atafanikisha analokusudia yeye na chama chake kwa michezo yao haramu inayoweza kuishia kumwaga damu ya raia pia mama anaweza kukataa huo u-first lady na kumwambia mumewe aende mwenyewe ikulu nae akabaki na wanae wanapoishi. Yule mama anaonekana ni mchamungu wa kweli na anayaelewa vilivyo maovu na udhaifu wa mumewe nae hataki kuchafuka nae.Kwa kuwa nae bado anaiheshimu ndoa yake takatifu ndio maana bado yupo na huyu mume vinginevyo kwa wanawake wengine kwa Magufuli kuwa na wanawake wa nje hadi kuwahonga majumba na kusimamia mahoteli kama tunavyosoma humu jf inataka mwanamke aliefundwa kisawasawa. Usishangae hata ushawishi wa mama Maria usifue dafu pale.
 
Ahsante mungu kwa kuwachanganya akili baya kwao wanaliona zuri hakika mungu ni mwaminifu
 
Kila njama wanayopanga tunawagundua , aisee huu mwaka wa ukawa
 
Chadema/Ukawa walishashtuka kitambo ndo maana inatumika "Mabadilikoooo... Lowasaaaaaa..., Lowasaaaaaaaa... Mabadilikooooo!!!" yeye aige tu. tena namshauri aite abadilishe na jina la chama chake aite CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…