Mbinu mpya ya CCM imegundulika

ukubwa jembe

Senior Member
Jan 6, 2014
101
25
Nimefuatilia kwa makini mambo yanayoendelea kisiasa na sasa nimegudua ACT ni chama kinachoivuruga CDM kwa mtaji wa CCM maana sasa wale wategemewa wa cdm wakishidwa kura za maoni wanashidwa kuvumilia.

Hapa jimbo la Ukonga leo Nixon Tugara Amehamia rasmi ACT na atagombea ubunge jimbo la Ukonga.
Bado najiuliza tamaa za nini maana huku ni UKAWA ndio imetawala na kama sio kutafuta kugawanya kura ni nini hasa kinatafutwa.

Jerry Slaa anajua moto wa kamanda Wetu Mwita Waitara ambae bila kuja kwa Nixon tayari Jerry alishasalim amri.
Makamanda kukosa ubunge sio mwisho wa maisha lazima uwe na malengo zaidi ya kuangalia Ubunge tu.
Labda tujiulize hivi ukikosa ubunge na wa ccm akapata wewe ACT utafurahiya?
Acheni tamaa
Huo ni upungufu wa kufikiria
 
Ni pale hisia na uchama vinapopingana na haki ya msingi ya mwanachi wa kawaida ...... siasa bwana mwaka huu ndo zimenipa sura yake kamili et magufur na lowasa ni wasafiii 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Nimefuatilia kwa makini mambo yanayoendelea kisiasa na sasa nimegudua ACT ni chama kinachoivuruga CDM kwa mtaji wa CCM maana sasa wale wategemewa wa cdm wakishidwa kura za maoni wanashidwa kuvumilia.

Hapa jimbo la Ukonga leo Nixon Tugara Amehamia rasmi ACT na atagombea ubunge jimbo la Ukonga.
Bado najiuliza tamaa za nini maana huku ni UKAWA ndio imetawala na kama sio kutafuta kugawanya kura ni nini hasa kinatafutwa.

Jerry Slaa anajua moto wa kamanda Wetu Mwita Waitara ambae bila kuja kwa Nixon tayari Jerry alishasalim amri.
Makamanda kukosa ubunge sio mwisho wa maisha lazima uwe na malengo zaidi ya kuangalia Ubunge tu.
Labda tujiulize hivi ukikosa ubunge na wa ccm akapata wewe ACT utafurahiya?
Acheni tamaa
Huo ni upungufu wa kufikiria

Naye pia ana haki yake. Mbona lowassa hukusema kitu. Acha unafikj wewe
 
Chadema si ndiyo mnarudiarudia eti hakuna uadui wala urafiki wa kudumu? Haya basi habari ndo hiyo wakuu! Kila mwanasiasa ana haki ya kuhama kutoka chama kimoja kwenda kwingine. So kaeni chini muangalie sasa. Mmeshafungua Pandora's box!
 
Wanamabadiliko msihofu kama alishinda kwa Rushwa lazima itakula kwake sisi wana ukonga tunajua kitu kimoja tu mwita waitara ni mbunge wa ukonga anaye subiri kuapishwa tu ondoeni wasiwasi
 
Yamekuwa hayo tena......wakihama ccm safi...lakini wakihama chadema wanakuwa waroho wamadaraka????????

Elewe kuwa tunaelewe Ccm wanatumia mbinu kuwagawa wapinzani.mfano uwezi niaminisha ghafla kwa wiki moja kutafuta mgombea wa uraisi chini ya uvungu mtaani .kumuweka agombee uraisi wa nchi.Kama sio mbinu za kupunguza nguvu za upinzani kupitia matawi kinyonga ya ccm.kwa taarifa yako ataa ccm itembee kichwa chini atuna mpango nayo.ccm out 2015 ndio mpango mzima.
 
Nimefuatilia kwa makini mambo yanayoendelea kisiasa na sasa nimegudua ACT ni chama kinachoivuruga CDM kwa mtaji wa CCM maana sasa wale wategemewa wa cdm wakishidwa kura za maoni wanashidwa kuvumilia.

Hapa jimbo la Ukonga leo Nixon Tugara Amehamia rasmi ACT na atagombea ubunge jimbo la Ukonga.
Bado najiuliza tamaa za nini maana huku ni UKAWA ndio imetawala na kama sio kutafuta kugawanya kura ni nini hasa kinatafutwa.

Jerry Slaa anajua moto wa kamanda Wetu Mwita Waitara ambae bila kuja kwa Nixon tayari Jerry alishasalim amri.
Makamanda kukosa ubunge sio mwisho wa maisha lazima uwe na malengo zaidi ya kuangalia Ubunge tu.
Labda tujiulize hivi ukikosa ubunge na wa ccm akapata wewe ACT utafurahiya?
Acheni tamaa
Huo ni upungufu wa kufikiria

Povu linakutoka kijana...mlidhani chama ni chadema tuuuu eeeeee naona unajifaridi kama kawaida yenu......hiyo ndio demokrasia pimbi wee
 
Kwa sababu tunataka mabadiliko ukihamia ccm/act hutaki mabadiliko.huo ndo ukweli.

Tumefungua mlango sisi wenyewe hakuna kulalamika.
Mwaka huu ruksa kuungana na adui yako kwa manufaa ya kisiasa. Hakuna adui wala rafiki wa kudumu katika siasa ila yapo maslahi ya kudumu na hayanapatikana hata kwa adui yako namba 1.
...kwani wewe umejipangaje ???
 
BADO HAWEZI KUZUIA MOTTO WA CHADEMA,UKAWA. Kura zetu wana Ukonga ni kwa wagombea wa CHADEMA. SISI HATUITAMBUI CCM WALA SIJUI ACT. watu hatuna maji safi tangu tumepata uhuru mpaka leo halafu tuichague CCM? thubutuu
 
Nimefuatilia kwa makini mambo yanayoendelea kisiasa na sasa nimegudua ACT ni chama kinachoivuruga CDM kwa mtaji wa CCM maana sasa wale wategemewa wa cdm wakishidwa kura za maoni wanashidwa kuvumilia.

Hapa jimbo la Ukonga leo Nixon Tugara Amehamia rasmi ACT na atagombea ubunge jimbo la Ukonga.
Bado najiuliza tamaa za nini maana huku ni UKAWA ndio imetawala na kama sio kutafuta kugawanya kura ni nini hasa kinatafutwa.

Jerry Slaa anajua moto wa kamanda Wetu Mwita Waitara ambae bila kuja kwa Nixon tayari Jerry alishasalim amri.
Makamanda kukosa ubunge sio mwisho wa maisha lazima uwe na malengo zaidi ya kuangalia Ubunge tu.
Labda tujiulize hivi ukikosa ubunge na wa ccm akapata wewe ACT utafurahiya?
Acheni tamaa
Huo ni upungufu wa kufikiria

Eeeeeh acha ujiiingaaa,yaani wakiama ccm kuja chadema wamejitambua lakini wakihama chadema kwenda kwingine ni either:-
1:wana tamaa
2:wamefukuzwa
Kuweni kimwili na kiakili pia
 
Uzuri wa ukawa wanapigana unconventional war... Ambayo ni mbinu ya vita isiyokuwa na formula maalum na yenye strategies nyingi za kushinda.

Hii ni hatari sana kwa CCM maana wamezoea siasa za kizamani ambazo naziita conventional war strategies ambazo nyingi zinajulikana
 
Watu hawajamuambia wazi Tugara alichowakosea wananchi nilikuwa Dar kwenye Msiba wananchi walikuw wanasema hata akipigiwa kampeni na maraisi wote wastaafu hakitaeleweka ataifanya ACT ianze vibaya
 
Wana cdm hapo ndoo mnaniacha hoi. Hamueleweki. Nyie ndoo mnaongoza kwa kuchukua walio hama. Kwanini hamutaki watu wahamie act? Hivi mnafikili nyinyi ndoo mnahati ya kugombea na kutawala?
 
Back
Top Bottom