Mbinu mbalimbali za kumzalisha mwanamke

Mbinu mbalimbali za kumzalisha mwanamke

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
7,950
Reaction score
19,854
Kutokana na vijana wengi kukosa nguvu za kiume, story nyingi zimezuka kwenye vijiwe vya kahawa kuhusu mbinu mbalimbali za kumzalisha mwanamke,

1. Style ya kifo cha mende, hii imepata alama nyingi sana, wanawake wengi waliohojiwa wanasema wakitaka kutundikwa mimba, basi hutumia hii style.

2. Kupiga goli nyingi. Hii imependekezwa na vijana wengi kwamba ukimpania mwanamke kumpa mimba basi siku hiyo piga kazi siyo mchezo hata kwa kunywa energy, alkasusu au vidonge vya erector.

3. Kumlewesha. Kuna utafiti ulionyesha mimba nyingi hutokea wapenzi wakiwa wamelewa, hivyo kama unamwinda kumpa mimba amebwia K vant za kutosha viungo vyake vyote vinalegea hivyo ukilenga tu imo.

4. Dogy style. Hii nayo inapelekea kumpachika mimba haraka sana sababu ya deep penetration.
 
NiANDIKiE mim tu PM ulichotaka kusema...

Japokuwa nahisi ww ni kama mama yangu ila swaga zako huwa nazielewa!

Samahani lakini..........

Bila kumlenga mtu yeyote yule....

Naongelea nilichokiona kwenye jamii na wengine wameishia kusema ni asili ya mwanaume....😏

Hapa mwanaume anaelimisha wenzie namna ya kutungisha mimba kwa urahisi kwa mwanamke.

Huko kwenye jamii kweli wanawake wengi wanapata mimba na wanaachiwa kulea watoto wenyewe na ni chanzo kikubwa cha watoto wa mitaani.

Asilimia kubwa ya wanaume wana watoto wa ujanani kabla hawajaoa wenyewe wanaita watoto wa kujifunzia pulling and push.

Madhara ya kupachika mimba kiholela ni makubwa mno kwenye jamii, ikibidi kushiriki ngono vaa condom ama laah uwe umejiandaa kuwajibika na kiumbe kitachozaliwa hadi anafikisha miaka 25.

Hapo nimejitahidi kufupisha.

Swali: akishashika mimba.... nini kinafuata...?!

Utashikisha mimba wanawake wangapi..!??

Halafu....!!!???

Naongelea nilivyoviona kwenye jamii nnazoishi hapahapa Tanzania.
 
Inategemea na kalenda ya mwanamke na pia uimara wa manii zako. Kuna mtu kasugua sana miaka saba hola hadi akasaidiwa na wachina mbegu zikakamuliwa kama ng'ombe zikaenda kurutubishwa kwenye maabara then zikapandikizwa kwa mama,ila mtoto ana vielement vya kishivo kabisa. Kutia mimba ni zaidi ya kupiga paipu na kufungulia koki.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom