Mbinu kuu ya TeamLowassa hii hapa

TeamLowasa Ni Mtandao Mkali Sana!Naamini Katika Kila Watu Wa 3,Wawili ni Wa Lowasa!
 
Mkuu CCM hii ya akina Lizaboni ni WAHUNI tu
Nia ni kuonyesha kuwa CCM HAINA MAKUNDI
CCM Lowassa walipiga kibao kura za HAPANA
 
Sasa hivi muda wa kufanya kazi kuona tunasongaje mbele watu wako busy na teams, mtu mwenyewe babu huyu kazeeka bado tu mpaka awe kijeba
 
TeamLowasa Ni Mtandao Mkali Sana!Naamini Katika Kila Watu Wa 3,Wawili ni Wa Lowasa!
Ingekuwa ni hivyo bungeni UKAWA mngetoa Spika na naibu spika.Endelea kuota utakuwa umelogwa
 
TeamLowasa ilikufa rasmi alipohamia chadema na team yake, ila sasa imeibuka team mpya inajulikana kama TEAM MIKIA hawa ni zile Returninwards kwa lugha ya kihasibu
 
Hata Kassim majaliwa aliimba
 
Je rais kuchaguliwa kwa 100% ya kura zote za wajumbe ni ushindi kweli au kuna walakini?

Kamuulize Lowasa alipataje kura asilimia 100 kuwa mgombea pekee wa uraisi kupitia CHADEMA kwenye mkutano
 
kama ccm ilipigisha marehemu kura na walio safarini, itashindwaje kuweka kura zote za ndiyo Dodoma ili kmfurahisha mkubwa. shida ni kuwa mkubwa mwenyewe anapenda sana sifa, so wakaamua kumpa sifa. muda ndo utaamua
 
Nasikia siku hizi hawana haja na mikutani ya hadhara wapo kimtandao zaidi siku Dr akishtuka tayari CHADEMA watakuwa na wanachama milion 15 ukilinganisha na milion 8 wa kununuliwa kadi Ikulu mwaka 2020 nyeupeeee.
LABDA IKULU YA MCHANGANI AU YA PORINI NDO NYEUPE MTASUBIRI SANAAAAAAAAAA
 
Aiseee huyu mzee Lowassa hata ufanye nin mtandao wake mkubwa sana tutarajie mengi kutoka kwake anaijua CCM vizuri....
 
kama ccm ilipigisha marehemu kura na walio safarini, itashindwaje kuweka kura zote za ndiyo Dodoma ili kmfurahisha mkubwa. shida ni kuwa mkubwa mwenyewe anapenda sana sifa, so wakaamua kumpa sifa. muda ndo utaamua
UNA UHAKIKA?ACHA KUROPOKAROPOKA
 
aiseee huyu mzee lowassa hata ufanyenin mtandao wake mkubwa sana tutalajie mengi kutoka kwake anaijua ccm vizuri....

Angekuwa na mtandao mkubwa kama anavyojigamba jina lake lisingekatwa CCM na asingeshindwa uchaguzi lakini pia angekuwa na mtandao mkubwa Spika angekuwa mtu wa UKAWA na naibu spika angekuwa mtu wa UKAWA.Endeleeni kumpa sifa hewa asizokuwa nazo muendelee kumkwapua pesa zake
 

Ulichokisema kina ka ukweli,lakin jpm ameshawambia watubu,wasipotubu wakitumbuliwa shauri zao
 
Walikuwepo Nchimbi na Sophia Simba

Nasikia alipata 48% huku kura za hapana zikiwa 52%,wazee wa chama wakasema 48%+52% ni sawa na 100% yakatangazwa matokeo walisema hapana wakageuziwa kibao walisema ndio na walio sema ndio wakaachwa kama zilivyo.
 
Naomba kuuliza hao team Lowasa hata Chadema wapo.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…