Mbinu kila kukicha , wee acha tu

kinacozuiwa hapa ni nini.....? kwa sababu kwa njia moja au nyingine wizi utatumika......
 
Hapa haibiwi mtu, kwanza mwenye mali anaonekana alishajichokea kitambo!
 
Hapo si unabadilisha usukanu unaondoka???
 
Kwa hiyo akiondoka anabeba vyote kwenye kiroba akitaka kuondoka anaaza kurudishia
 
Oyaa we Mbuzi Mzee me hizo picha zako huwa sizioni kabisaa inakuaje hapo kati bwanaaaa
 
Hahaha, mr bean at work! Hawakawii kuiba steering wheel ukaikuta inahang lwenye mnyororo hapo!
Kwa hiyo akiondoka anabeba vyote kwenye kiroba akitaka kuondoka anaaza kurudishia
 
anaweza likuta gari liko juu ya mawe hata tyre hakuna na viti na engine
chezea wezi wewe

Hiyo ilitokea mitaa flani huku Sinza (Dar).
Kuna wezi walikuwa wanaiba usiku wa manane kwenye duka flani la nguo lililokarbu na klab flan ya usiku ila wakaacha gari lao wamelipaki kwenye parking za ile klab. Walipostukiwa wakakimbia kuokoa roho zao wakaacha gari.
Mpaka asubuhi lile gari kila kitu kilienda (yaan mirrors, lights, indicators, betry, seats carpets, gear box, wind screens, tyres, bonets, radiator, oil tanks etc) engine ilishindikana kuondoka sababu ya uzito ila jamaa walikuwa tayari hata kukwangua rangi ila nasi tu!!
 
mshikaji wangu alikuwa siku zote gari yake hailock na haibiwi kitu alipokuja ndugu yake kutoka majuu siku alipoichukuwa akailock basi ilivunjwa kioo cha dereva
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…