Mbinu chafu za serikali kuficha ukweli juu ya Dr. Ulimboka

Hizi ni Tuhuma nzito lakini itapendeza kama chanzo chake sio mambo ya siasa bali ukweli.

chanzo chako lazima kiwe karibu sana na waliohusika na kadhia hii ama serikalini au kutoka vyombo unavyovituhumu....yamkini wewe ni mmoja wao uliosaliti

Ni heri awepo mtu kama huyu ambaye anawasaliti hawa mafisadi wajinga,kuliko anayesaliti
raia na kuwaua.
 
Mungu wanguu!!! Hata juzi wakati kova anaongea macho yalikuwa yanamtoka kwa woga. kumbe anajua the silly secret behind.
 
Kuna mbinu chafu zinapangwa katika kuficha ukweli wa kile kilichotokea kwa dr. Ulimboka. Mbinu hizi zinalenga kuficha maovu yaliyofanywa na serikali kwa dr ulimboka na hivyo kuisafisha serikali ili ionekane kuwa haihusiki na unyama huu.

'hakika' na wewe ni mmoja wao, au uko karibu sana na msangi! na kama stori yako ni ya kweli, basi itabidi serikali 'sikivu' ya CCM ijipange upya.

connecting dots; inawezekana msangi naye amepewa 'ultimatum' na wakubwa wake, kama asipofanikiwa kummalizia dr ulimboka basi kichwa chake halali yao???!!!!
 
Kwa mkakati huu, Mungu yu Mwema kwa Ulimboka. Lakini mpango huu utawafikisha wapi? Shetani ameshindwa!!!!!!!!!!!!!!!
Jina la bwana liinuliwe, Watanzania Hhureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, Mwema na Shemejiye wameumbuka sasa, wapange mkakati, De,level endelea kuipenda na kuipigania nchi yako. Taifa kwanza.
mwana wale mbona wako huru...
 
Mbaya zaidi huyo mtoto wa mkulima anajifanya kushangaa kuwa serikali inahusikaje?Hivi kweli kichwa yake iko sawa au inakwenda less,hawawezi kujitoa kwenye huu mzigo,Kwanza hao makamanda wenyewe ni majambazi, wauaji no moja na ndiyo wanaotoa silaha ili kufanikisha ujambazi karibu asilimia 90.INAUMA SANA
 
"Mungu uliyemponya Dr Ulimboka na mdomo wa mauti kwa kusudi la kumfanya aweze kuufanya
umma wa Watanzania ujue ukweli juu ya unyama na udhalimu unaofanywa na serikali fisadi
ya Tz inayoongozwa na wadhaifu ,tunaomba mponye na mlinde Dr.Ul.na umpe ujasiri wa kuyasema
yote uliyoyakusudia Watanzania tuyajue" Mungu tubariki Watanzania wanyonge,mbariki DR apone"
 
Kuna mbinu chafu zinapangwa katika kuficha ukweli wa kile kilichotokea kwa dr. Ulimboka. Mbinu hizi zinalenga kuficha maovu yaliyofanywa na serikali kwa dr ulimboka na hivyo kuisafisha serikali ili ionekane kuwa haihusiki na unyama huu.

Mtu aliyekuwa anajitambulsha kwa dr. Ulimboka na kuwa na mawasilinao nae kwa mda mrefu akitumia jina la Abduel (si jina lake halisi na wengine humuita abedi) alikabidhiwa kazi ya kumfatilia dr ulimboka siku mbili baada ya waziri mkuu pinda kwenda kuonana na madaktari pale Muhimbili. Kitu cha kwanza alichofanya ni kujiweka karibu na ulimboka katika kuzungumzia matatizo yao lakini pia huyu jamaa alikuwa link kati ya ulimboka na serikali. Katika kipindi chote hicho mwanausalama huyu likuwa akimfatilia ulimboka ili kumjua kwa undani zaidi.

Baada ya kuona msimamo wa dr ulimboka juu ya swala hili la madaktari hautetereki na habadiri msimamo wake maana walishataka kumpatia pesa ili anyamaze ; ndipo sasa maandalizi ya kumnyamazisha kwa kutumia formula ya '' maiti haisemi'' yalianza. Lengo lilikuwa ni kumuua kabisa na hiyo juzi walidhani wamemuua.wazo la kumnyamazisha jumla ulimboka halikutoka kwa huyo mwana usalama bali nae alipokea maelezo toka juu kwa watawala. Mpango wa kutekwa ulimboka ulipangwa na kitengo anachofanyia kazi mwana usalama huyo na kutekelezwa na maafisa wapolisi waliokabidhiwa jukumu hilo.

MBINU CHAFU
Baada ya kufanikiwa kumteka na kumpiga vibaya dr ulimboka na hatimae kumtupa huko msitu wa pande huku wakidhani tayari adhma imetimia ya kumtoa uhai sasa serikali dhaifu imepanga mipango michafu ili kujisafisha ili isionekane kuwa imehusika na unyama huu.

1. Abduel amesafirishwa na kuondolewa nchini Tanzania usiku wa tarehe 27 kwa kupita Nairobi na baadae ataelekea kwenye ubalozi wa afrika ya kusini atakapopangiwa majukumu mengine. Hii yote ni katika kuficha ukweli . hao maafisa wa polisi watano waliomteka ulimboka wapo nchini na mmoja amewekwa kwenye tume ya kuchunguza utekwaji nyara wake iliyoundwa na kova nahii imefanywa makusudi kwa malengo flani; wanne waliobaki wamesambazwa kwenda mikoan na hawapo dar.

2. Kamanda wa polisi kova ameelekezwa KUHAKIKISHA anailinda serikali katika jambo hili na afanye awezalo kuonyesha umma wawatanzia kuwa serikali haihusiki na jambo hili.katika kuficha na kuilinda serikali kova, mwema na maafisa wa wajuu wa usalama wa taifa walishauliana ili kuilinda serikali na kadhia hii mahabusu 5 wenye makosa ya ujambazi wanahitajika kutoka katika magereza yaliyopo mwanza, songea, tabora, tanga na kigoma waletwe dar ili hao waweze kuonyeshwa kwenye vyombo ya habari kuwa ni majambazi yaliyomteka ulimboka na kumpiga. wakishapatikana wataonyeshwa kwenye vyombo vya habari na umma wa watanzania utaambiwa kuwa wale ndio walifanya unyama huo wako chini ya ulinzi na kuwa maohojiano yanaelendelea na uchunguzi ukikamilika watapelekwa mahakamani na hapo ndipo utakuwa mwisho wa mchezo.
3. mbinu nyingine ni kuwa mahabusu hao wasafirishwe hadi pwani na wauwawe wote na taarifa itoke kuwa ndio waliomteka dr ulimboka na wamekamatwa wakiwa mkoa wa pwani katika msako mkali wa jeshi la polisi. Na katika kujibizana risasi polis ilifanikiwa kuwaua majambazi hayo. Na hapo ndo itakuwa mwisho wa swala hili na serikali itakuwa imenawa mikono na kujisafisha

Kwa sasa kinachofanyika ni kuwasiliana na magereza husika ili kila gereza litoe mtu mmoja (mahabusu) atakayesafirishwa hadi dar/pwani na wataunganishwa kisha kuonyeshwa kwenye vyombo vya habari wakiwa hai au maiti ili kuuaminisha umma kuwa wao ndio walimvamia dr.ulimboka
Upelelezi na uchunguzi unaofanyika sasa ni changa la macho kwa watanznai na hiyo tume aliyoiunda kova nayo ni changa la macho ,na kama ulimboka alifanikiwa kuwaona vizuri na kuzishika sura zao ,mmoja wao yupo katika kamati hiyo. hakuna uchunguzi wowote utakaofanyika wenye tija kwa taifa juu ya kilichotokea.Kamanda Kova anasimamia operation hii na ameambiwa HAKIKISHA serikali inasafishika.

Mazingira yote yanayoihusisha serikali kwa watu wake kufanya ushenzi kuna jitihada kubwa inafanyika ili kufuta dhana hiyo. Si maraya kwanza kwa serikali kuua watu inaowaona ni mwiba kwake. Wapo wengi na wengi wamezikwa kwenye msitu huo wa pande, kuna msitu uko kibaha(kama uamzi wa kuwaua mahabusu utakubaliwa basi watauliwa kwenye msitu huo) na wengine hutupwa baharini .
Kusamilika kwa ulimboka ni kuwa Mungu ana mpango nae na serikali inafanya kila linalowezekana kujinasua. si wote serikalini wamefurahishwa na kilichotokea wengine wamechukia tena sana
Watz tuelewe yafuatayo, kwa vile kamati ya marekebisho imeanza kazi tyr tujitokeze kutoa maoni mojawapo ni kwmb hatutaki fedha yetu itimiwe kutuumiza sisi, usalama wa taifa isiwe siri tena hatutaki!siku hizi hakuna mambo ya siri, siri za nn km hao wanaotengeneza silaha siku hizi mambo ni hadharani? ilivyo sasa usalama wa taifa unatumiwa kupora,kuua,kuhujumu taifa na raia wema..HATUTAKI!bajeti yao iwe wazi!mm binafsi sitaki kodi yangu itumiwe kishenzi namna hii(kuua raia wema)!
Pili, sisi raia km mambo yamefikia hapa suala ni moja tu, tuanze na sisi kuwaua polisi mmoja mmoja si tunakaa nao uraiani! hii ndo dawa, polisi wote ni wanafiki tu!
 
Jamani kuua Mahabusu wengine watano kwa ajili ya Ulimboka au Madaktari haiingii akilini hata kwa YESU Masihi haikutokea hebu tuweni na akili za kufikikiri mambo ya Illusion waende Chit chatSheria ya Mtuhumiwa aliye Mahabusu yoyote ana Ndugu na kila baada ya siku 14 anatakiwa Mahakamani kusikiliza tuhuma zake. Sasa anahamishwa mpaka Mabwepande haiingii hata wale wa Zombe @ kilijulikana siku hiyohiyo sa umtoe Gerezani na ndio maana Spika katamka leo waandishi wamekuwa wengi hawajui waandikalo eti kambi inakandamizwa wakati Kanuni hamzijuiHii Issue ipo Mahamakani mwacheni Dr Uli apone atasema

Wewe kweli una ukakasi kama jina lako UKWAJU. Umekalilishwa na wewe ukaamini hivyo.

Ngoja nikupe Elimu ya bure pia mfikishie SPIKA wako asiyejuwa sheria hata A B C

Issue iliyoko mahakamani ni ya MGOMO WA MADAKTARI.

Issue Dr. Ulimboka kutekwa na kuteswa haiko mahakamani hivyo ni ruksa kuijadili. Got it Dude! Haya kimbia kamwambie Spika wako aache kuwaziba wabunge midomo kutoongelea issue ya Dr. Ulimboka kutekwa na serikali.
 
Kuna mbinu chafu zinapangwa katika kuficha ukweli wa kile kilichotokea kwa dr. Ulimboka. Mbinu hizi zinalenga kuficha maovu yaliyofanywa na serikali kwa dr ulimboka na hivyo kuisafisha serikali ili ionekane kuwa haihusiki na unyama huu.

Mtu aliyekuwa anajitambulsha kwa dr. Ulimboka na kuwa na mawasilinao nae kwa mda mrefu akitumia jina la Abduel (si jina lake halisi na wengine humuita abedi) alikabidhiwa kazi ya kumfatilia dr ulimboka siku mbili baada ya waziri mkuu pinda kwenda kuonana na madaktari pale Muhimbili. Kitu cha kwanza alichofanya ni kujiweka karibu na ulimboka katika kuzungumzia matatizo yao lakini pia huyu jamaa alikuwa link kati ya ulimboka na serikali. Katika kipindi chote hicho mwanausalama huyu likuwa akimfatilia ulimboka ili kumjua kwa undani zaidi.

Baada ya kuona msimamo wa dr ulimboka juu ya swala hili la madaktari hautetereki na habadiri msimamo wake maana walishataka kumpatia pesa ili anyamaze ; ndipo sasa maandalizi ya kumnyamazisha kwa kutumia formula ya ’’ maiti haisemi’’ yalianza. Lengo lilikuwa ni kumuua kabisa na hiyo juzi walidhani wamemuua.wazo la kumnyamazisha jumla ulimboka halikutoka kwa huyo mwana usalama bali nae alipokea maelezo toka juu kwa watawala. Mpango wa kutekwa ulimboka ulipangwa na kitengo anachofanyia kazi mwana usalama huyo na kutekelezwa na maafisa wapolisi waliokabidhiwa jukumu hilo.

MBINU CHAFU
Baada ya kufanikiwa kumteka na kumpiga vibaya dr ulimboka na hatimae kumtupa huko msitu wa pande huku wakidhani tayari adhma imetimia ya kumtoa uhai sasa serikali dhaifu imepanga mipango michafu ili kujisafisha ili isionekane kuwa imehusika na unyama huu.

1. Abduel amesafirishwa na kuondolewa nchini Tanzania usiku wa tarehe 27 kwa kupita Nairobi na baadae ataelekea kwenye ubalozi wa afrika ya kusini atakapopangiwa majukumu mengine. Hii yote ni katika kuficha ukweli . hao maafisa wa polisi watano waliomteka ulimboka wapo nchini na mmoja amewekwa kwenye tume ya kuchunguza utekwaji nyara wake iliyoundwa na kova nahii imefanywa makusudi kwa malengo flani; wanne waliobaki wamesambazwa kwenda mikoan na hawapo dar.

2. Kamanda wa polisi kova ameelekezwa KUHAKIKISHA anailinda serikali katika jambo hili na afanye awezalo kuonyesha umma wawatanzia kuwa serikali haihusiki na jambo hili.katika kuficha na kuilinda serikali kova, mwema na maafisa wa wajuu wa usalama wa taifa walishauliana ili kuilinda serikali na kadhia hii mahabusu 5 wenye makosa ya ujambazi wanahitajika kutoka katika magereza yaliyopo mwanza, songea, tabora, tanga na kigoma waletwe dar ili hao waweze kuonyeshwa kwenye vyombo ya habari kuwa ni majambazi yaliyomteka ulimboka na kumpiga. wakishapatikana wataonyeshwa kwenye vyombo vya habari na umma wa watanzania utaambiwa kuwa wale ndio walifanya unyama huo wako chini ya ulinzi na kuwa maohojiano yanaelendelea na uchunguzi ukikamilika watapelekwa mahakamani na hapo ndipo utakuwa mwisho wa mchezo.
3. mbinu nyingine ni kuwa mahabusu hao wasafirishwe hadi pwani na wauwawe wote na taarifa itoke kuwa ndio waliomteka dr ulimboka na wamekamatwa wakiwa mkoa wa pwani katika msako mkali wa jeshi la polisi. Na katika kujibizana risasi polis ilifanikiwa kuwaua majambazi hayo. Na hapo ndo itakuwa mwisho wa swala hili na serikali itakuwa imenawa mikono na kujisafisha

Kwa sasa kinachofanyika ni kuwasiliana na magereza husika ili kila gereza litoe mtu mmoja (mahabusu) atakayesafirishwa hadi dar/pwani na wataunganishwa kisha kuonyeshwa kwenye vyombo vya habari wakiwa hai au maiti ili kuuaminisha umma kuwa wao ndio walimvamia dr.ulimboka
Upelelezi na uchunguzi unaofanyika sasa ni changa la macho kwa watanznai na hiyo tume aliyoiunda kova nayo ni changa la macho ,na kama ulimboka alifanikiwa kuwaona vizuri na kuzishika sura zao ,mmoja wao yupo katika kamati hiyo. hakuna uchunguzi wowote utakaofanyika wenye tija kwa taifa juu ya kilichotokea.Kamanda Kova anasimamia operation hii na ameambiwa HAKIKISHA serikali inasafishika.

Mazingira yote yanayoihusisha serikali kwa watu wake kufanya ushenzi kuna jitihada kubwa inafanyika ili kufuta dhana hiyo. Si maraya kwanza kwa serikali kuua watu inaowaona ni mwiba kwake. Wapo wengi na wengi wamezikwa kwenye msitu huo wa pande, kuna msitu uko kibaha(kama uamzi wa kuwaua mahabusu utakubaliwa basi watauliwa kwenye msitu huo) na wengine hutupwa baharini .
Kusamilika kwa ulimboka ni kuwa Mungu ana mpango nae na serikali inafanya kila linalowezekana kujinasua. si wote serikalini wamefurahishwa na kilichotokea wengine wamechukia tena sana
this is what we call great thinkes, we need jamani sio upuuzi anyway THANKS ALOT SIJUI TUIPEPERUSHEJE HII HABARI JAMANI KILA MTU AIJUE TUUU ILI WASIDANGANYIKE?
 
too let!....mipango ya serikali dhaifu mwisho wake ni aibu na kung'oka madarakan kwa fedheha.Tunayo kamera yetu ambayo ni Mungu lazma wataumbuka
 
Mwenyezi Mungu uondoe utawala huu madarakani ikiwa si mapenzi yako, maana watanzania wanyonge sasa tunanyanyasika, wengine wanateswa hata kufa na maovu mengine mengi ambayo hutendwa na utawala huu na haya si mapenzi ya Mungu. Mwenyezi Mungu sikia kilio cha wanyonge wa Tanzania ninakusihi haya katika jina la YESU NA ZAIDI MAPENZI YAKO YATIMIE, AMEN.
 
mbaya zaidi huyo mtoto wa mkulima anajifanya kushangaa kuwa serikali inahusikaje?hivi kweli kichwa yake iko sawa au inakwenda less,hawawezi kujitoa kwenye huu mzigo,kwanza hao makamanda wenyewe ni majambazi, wauaji no moja na ndiyo wanaotoa silaha ili kufanikisha ujambazi karibu asilimia 90.inauma sana
tabu kuishi tatizo nikupata hela uzeeni nyie simnamkumbua alipochaguliwa alikuwa analialia hovyo akiona wananchi wanateseka leo hii ashakuwa gubegube chzeya mapeasa weye
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom