Mbinu chafu za serikali kuficha ukweli juu ya Dr. Ulimboka

Ninasikia Mkuu leo amewa summon Baraza la usalama wa Taifa, anataka maelezo ya kina kwanini mpango wa kumuua Dr. Ulimboka uli fail?

Hata wakitumia hiyo mbinu ya kuleta majambazi kutoka magereza sura ya Abeid Ofisa usalama wa IKULU inafahamika kwa madaktari wengi walioko kwenye timu ya majadiliano including Dr. Deo. Huyo Askari aliyewekwa na Kova kwenye tume tunamjua kwa jina na sura Hemedi Msangi.

Ninakwambia kwa hili serikali imekula kwao. The last option walionayo serikali wataanza kuwauwa wote waliotumwa na kushindwa kuafanikisha operation hiyo akina Abeid, Hemedi Msangi na askari hao wengine wanne. Serikali imekuwa ya kigaidi.

Yatatokea kama vile kule Kenya mapema miaka ya 90 alipouwawa Dr Ouko. Watu wengi walikufa katika upelelezi.
 
Nakuaminia de'levis. Kupona kwa Dr Ulimboka ni mpango wa Mungu. hawa jamaa walifikiri wamemaliza kazi. Hii serikali ianafanya mambo yaliyofanywa na Amini miaka ya 70. Shame on them. Dr aueleze umma yaliyotokea.
Gagnija mimi nitasponser hicho kipindi kwenye tv
 
Last edited by a moderator:
Serikali dhaifu hata kuua wanatumia nguvu nyingi, na hata hivyo hawafanikiwi pia. Kweli Mungu mkubwa, maana jamaa walishindwa kutumia bunduki na wakapiga risasi juu.

Kweli wahenga walisema "siku ya mbwa kufa pua zote huziba"
 
Kazi ya Msangi ambaye ni mmoja wa maafisa waliokuwemo kwenye assassination attempt, ambaye alitambuliwa na Ulimboka na kuombwa arudishe wallet na hela ilikuwa ni kuhakikisha kama ulimboka anakumbuka hata mtu nmmoja aliyekuwa kwenye timu ya uuaji.
Tayari keshatambuliwa Msangi, move hii ya serikali haiwezi kuendelea.
watakuja na nyingine.
 
Serikali dhaifu hata kuua wanatumia nguvu nyingi, na hata hivyo hawafanikiwi pia. Kweli Mungu mkubwa, maana jamaa walishindwa kutumia bunduki na wakapiga risasi juu.

Kweli wahenga walisema "siku ya mbwa kufa pua zote huziba"
Kikwete dhaifu, Mnyika alikonklude
 
sasa naona ni afadhali majambazi sugu tuishi nao mitaani kuliko serikli ya ccm iendelee kuwepo madarakani, and i asure you wakuu, siku sio nyingi hali ya hewa itachafuka tu, na amini usiamini, hapo ndio itafahamika kama watanzania ni waoga au laa,
ila sasa wasi wasi wangu ni kwamba, Dr Ulimboka awekewe ulinzi tosha hta ikiwezekana Ulinzi shirikishi kwa kuwa hawa jamaa hawashindwi kuingina hapo na kum malizia hta kwa kumchoma sindano za sumu...
chonde chonde madaktari mliopo pembeni ya Dr Ulimboka, msimruhusu mtu wa aina yoyote aonane na huyu jamaa, kwa maana nyie wenyewe ndio mnaemtibu,ili apone atupe ukweli wa mambo zaidi
 
this is what we call great thinkes, we need jamani sio upuuzi anyway THANKS ALOT SIJUI TUIPEPERUSHEJE HII HABARI JAMANI KILA MTU AIJUE TUUU ILI WASIDANGANYIKE?

If you're in Tz, produce at least 5 copies and distribute them to those who can't access this site. Also better if we can share this on some popular blogs.
 
utampaka matope de'levis lakini haitasaidia! nimekwambia toka jana U ALWAYS TALK VAPOUR!

anafikiri jamaa huwa anakurupuka kupost humu...asome thread zake ndo atajua... zomba ziku zote yeye anafuka moshi tu.
 
Last edited by a moderator:
Jamani kuua Mahabusu wengine watano kwa ajili ya Ulimboka au Madaktari haiingii akilini hata kwa YESU Masihi haikutokea hebu tuweni na akili za kufikikiri mambo ya Illusion waende Chit chatSheria ya Mtuhumiwa aliye Mahabusu yoyote ana Ndugu na kila baada ya siku 14 anatakiwa Mahakamani kusikiliza tuhuma zake. Sasa anahamishwa mpaka Mabwepande haiingii hata wale wa Zombe @ kilijulikana siku hiyohiyo sa umtoe Gerezani na ndio maana Spika katamka leo waandishi wamekuwa wengi hawajui waandikalo eti kambi inakandamizwa wakati Kanuni hamzijuiHii Issue ipo Mahamakani mwacheni Dr Uli apone atasema
Kidogo hivi unaweweseka, je mtakapofunuliwa blanket lote mbaki wazi mbele ya macho ya wabongo si utajinyonga kabisa?!
 
Tusisahau tu kwamba sote njia yetu ni hiyo hiyo!!. hakuna atakayeishi milele. Na roho ya mtu haiendi bure.
 
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100% (ila sio kama Wabunge wa CCM ambao wamejaa unafiki)
 
Du, ama kweli hii ni noma. Wasifanye huu mpango wa kuwauwa watu wasio na hatia. Damu ya mtu mwenye haki ikimwagika humlilia Mungu na humfikia. Kumbukeni yaliyofanywa kati ya Kaini na Abeli. Kimeshanuka kimeshanuka.
 
Back
Top Bottom