Mbinu chafu za serikali kuficha ukweli juu ya Dr. Ulimboka

Kuna kitu kimoja hawa wahusika wa utekaji hawaelewi, au hawataki kuelewa... Hawataweza kupambana na Mungu... Mwenyezi ameshaamua kuwaumbua, na katika hili hakuna hata tone moja la haki litapotea. Mi nawashauri tu kitu kimoja.... They have to commit suicide... Wajiue...
I agree with you. Hivi wataficha wapi nyuso zao Dr Ulimboka atakapoanika yaliyotokea?
 
Ninasikia Mkuu leo amewa summon Baraza la usalama wa Taifa, anataka maelezo ya kina kwanini mpango wa kumuua Dr. Ulimboka uli fail?

Hata wakitumia hiyo mbinu ya kuleta majambazi kutoka magereza sura ya Abeid Ofisa usalama wa IKULU inafahamika kwa madaktari wengi walioko kwenye timu ya majadiliano including Dr. Deo. Huyo Askari aliyewekwa na Kova kwenye tume tunamjua kwa jina na sura Hemedi Msangi.

Ninakwambia kwa hili serikali imekula kwao. The last option walionayo serikali wataanza kuwauwa wote waliotumwa na kushindwa kuafanikisha operation hiyo akina Abeid, Hemedi Msangi na askari hao wengine wanne. Serikali imekuwa ya kigaidi.
msangi??? msangiiiii mh atakua ni mpare huyu eeeh....
 
Whether it is a theory or not, your explication is somewhat bound to survive scrutiny. In fact, in such circumstances as the current Ulimboka incident, any kind of a well-presented hypothesis may easily be mistaken for a fact and is likely to strike the mind of a relatively credulous person. At any rate, I must acknowledge that your exposition--whether credible or not--is, without doubt, remarkably meticulously gathered and extremely superbly presented.
 
Mungu aliyeumba mbingu na nchi hutetea taifa litetealo watu wake si watesaji. So their god lucifer is only to protect their bad deeds and the nation will vanish in dust.
 


p1600/0527​

m​
hemedi m msangi

-​

abs​

g/studies-x physics-x chemistry-x biology-x bam-x​
anaonekana ni mpelelezi tu
 
Kwa hali hii viongozi wengi Wa nchi hii wamejaa damu za wanyonge katika mikono yao,sijui tutafanya nini sisi wananchi wa hali ya chini.
 
No bullet can stop us now, we neither beg nor will we bow
Neither can be bought nor sold.
 
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii tumekwisha! Nimeamini motoni watu watatofautiana kuwa kuni! Kikwete na wenzie wasipotubu, watakuwa kuni jehanam! Lord Have Mercy! Atuvushe salama 2015, amen!
 
Nakuaminia de'levis. Kupona kwa Dr Ulimboka ni mpango wa Mungu. hawa jamaa walifikiri wamemaliza kazi. Hii serikali ianafanya mambo yaliyofanywa na Amini miaka ya 70. Shame on them. Dr aueleze umma yaliyotokea.


Nakubaliana na wewe 100% kiukweli hawakutegemea Dr. Ulimboka kupona.
 
de'levis

Kwanini isiwe ni wewe uliyefanya mpango huu wa kumdhuru ulimboka ili serikali ionekane mbaya?
 
Back
Top Bottom