wamburamwita
Member
- Jun 22, 2015
- 31
- 5
Hii tume inatuchanganya wanasema hakuna mtu atakae achwa ila wameweka mwisho ni siku saba na mashine zao hazina uwezo wa kuandikisha watu 100 hamuoni kama hii nidanganya toto
Wanachukua Kadi Za Wanachama Wao Na Kuwaandikisha Mapema Iwezekenavyo, Na Hii Inafanywa Kwa Siri Kubwa.
Wakishaandikisha Watu Wao Huwashinikiza Waandikishaji Waseme Kwamba Mashine Ni Mbovu Na Huwa Ni Pale Wanapoona Vijana Ndo Wako Kwenye Foleni Ilimradi Waandikishwe Wachache.
UKAWA Hilo Munalijua?
wanachukua kadi za wanachama wao na kuwaandikisha mapema iwezekenavyo, na hii inafanywa kwa siri kubwa.
Wakishaandikisha watu wao huwashinikiza waandikishaji waseme kwamba mashine ni mbovu na huwa ni pale wanapoona vijana ndo wako kwenye foleni ilimradi waandikishwe wachache.
Ukawa hilo munalijua?
Pumba tupu watu wanapenda kubwabwaja sana zoez limepita mwanza sijaoma kisa kama hicho watu wote wamehudumiwa sawa