Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba CCM wameandaa mikakati michafu kuhakikisha kwamba wanashinda Uchaguzi wa Ubunge jimboni Ubunge kwa gharama zozote. Wamekaa kikao na kukubaliana yafuatayo kuhakikisha mgombea wao anashinda:
1. Kugawa kila mtaa Shilingi za Kitanzania Milioni Moja (TZS 1,000,000/=) ya kuhonga wananchi tarehe 29 na 30 Oktoba, 2010. Tunayo majina ya baadhi ya wasambazaji.
2. Wamepanga kupita na gari Tarehe 30 Oktoba 2010 na pia kutumia Mabalozi kusambaza uvumi kuwa Mnyika ameamua kumwachia Hawa Kiti cha Ubungo.
3. Wamekubaliana watumie polisi kuweka rumande vijana vijiweni mpaka jumatatu kupunguza kura.
4. Mabalozi wameelekezwa watafute watu wawili wa kupiga kura vituo hewa. Tayari CHADEMA imevitambua vituo hewa na kuandika barua ya kuvikataa.
Tutazidi kuwapa taarifa jinsi mambo yanavyoendelea.
HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE!

Jamani mimi sina uvumilivu wa kumeza taarifa mbaya namna hii...Iam signing =off, wacha niende kwa mke wangu!
Iam sick and tired!...ccm ni wapumbavu kabisa!
Mbona wasiwasi namna hiyo! Hivi Chadema mkishindwa itakuwaje, uzushi uzushi tu. Kama umefikiwa na huyo mtoa rushwa mbona hujisemi? Visingizio tu kila mahali, hii ni hali ya kutapatapa tu. CCM wapo kimya wanajua nini cha kufanya. Kapige kura acha kututisha!

Hivi inakuwaje mtu analazimisha kuongoza wakati hatakiwi. hawa watu ni vichaaa. wao uongozi wamefanya ajira badala ya kutumikia watu. so stupid i have never seen.