Unaweza kuweka chanzo cha hiki ulichoandika ?Taarifa za kiintelijensia zilionyesha kwamba USA anampango wa kupeleka silaha za Nyuklia Ukraine endapo itajiunga, na Ukraine ipo karibu sana kimipaka (mpaka mrefu zaidi) na Russia, hivyo ni hatari kwa usalama wa Russia.
Majibu wanayo wanaotoa misaada.Mimi nauliza kwa case ya Ukraine, marekani anawapemda sana Ukraine? Au anapenda sana haki za binadamu? Sababu ni ipi ya kuwasaidia kwenye hii vita?
Ameen.Mungu ibariki Russia na Rais wake na mipango yake yote ifanikiwe.
Chanzo angalia ramani ya Ukraine - Russia. Majibu ni simple, USA na Russia wanapigania World Dominance, USA amekuwa world super power for so long, Russia nae ana Aspirations hizo hizo za kuwa kiranja wa Dunia. Kitendo cha USA kupeleka silaha za Nuclear Ukraine endapo wangejiunga na Nato kunge-undermine uwezo wao katika medani za dunia. Sio Kwamba US anawapemda sana Ukraine. Tuone mambo as they are.Unaweza kuweka chanzo cha hiki ulichoandika ?
Majibu wanayo wanaotoa misaada.
Tatizo nyie mna siasa sana!!!! Narudia Urusi hana msingi wa kuvamia Ukraine. Soviet Union ilishavunjika na hizo ambitions za kuirudisha hazitafanikiwa. Putin is just a butcher!!!Duh kwel kusoma kazi.Maandiko yoootr yaliopo hapa jukwaan bado unakuja na swal kama hil hpa mzee?? 😁
ok nimekupata,kuna watu anabisha hata hajafanya research yoyoteUnatumia nguvu kubwa Sana mkuu, Inabid ujue kuna watu hawajui kama hii migogoro ni ya kihistoria, wanabisha ovyo tu.
Hebu onyesha Ni wapi Putin alisema watachuikua Ukraine ndani ya siku 3 tu? Ukishindwa kuweka source ya hii habari yako hapa then "toka hapo nje ya nyumba kisha angalia juu na ujipige pige kifua huku ukisema kwa sauti hakika Mimi nilipewa kichwa kwa ajili ya kufugia nywele."Hii vita Bado mbichi sana, watu wengi akiwemo Putin hawakutegemea kama Ukraine itamsumbua kiasi hicho, alitoa siku 3 za ushindi matokeo yake kila mtu anayaona,
Huwezi kujitangazia ushindi ,wakati mpinzani wako hajasalimu amri ,piga nikupige itaendelea tu, suluhu ni kukaa mezani na kuyamaliza
Marekani ameondoa askari Afghanistani lakini umeona kinachoendelea watu bado wanabutuana kwa mabomu ya kujitoa muhanga hadi leo masokoni na misikitini kama hawana akili vizuriMarekani alivyokuwa anaangamiza Iraq, Libya na Afghanistan ilikuwa ni sawa, ila hii sio sawa?
Kabla ya wao kuingia Afghanistan hayo mabomu yalikuwa wapi? Vipi Libya, vipi Iraq, vipi Vietnam?Marekani ameondoa askari Afghanistani lakini umeona kinachoendelea watu bado wanabutuana kwa mabomu ya kujitoa muhanga hadi leo masokoni na misikitini kama hawana akili vizuri
Hii ni ndoto ya kila mpenzi na mshabiki wa mapenzi ya jinsia moja dunianiHaitafanikiwa hata kidogo na Putin ataondoka tu
Raisi wa Ukraine katamka wazi hawaachii hata sentimita moja ya Ukraine mikononi mwa Urusi
Hiyo vita wenyewe wamejiandaa kupigana muda mrefu minimum Miaka 10 maximum haijulikani
Yaani Urusi ajiamdae kupigana na Ukraine kwa kipindi kirefu mno
Upinzani uliojaa ushabiki wa mashogaSiyo lazima ulivyoandika kuwa sahihi,hizo ni propaganda kutoka Russia + hisia zako zilizojaa ushabiki wa Russia.
Mnayasema haya baada ya kubanwaHakuna aliyesema ni sawa,watu wengi tu walilaani vitendo vya kibabe vya wamarekani,siyo halali kwa nchi moja kwenda kuivamia nchi nyingine inayojitawala na kuipangia maamuzi ya kufanya haijalishi ni Marekani au Russia.
Kama Marekani anavyotumia nguvu zake kuonea wanyonge. Sidhani kama duniani kuna nchi inachukiwa na nchi nyingi kama Marekani. Anatumia nguvu zake kutengeneza maadui.Mrusi anatumia ikubwa wake kuionea Ukraine. Ukraine is a free country to do whatever it wants siyo kuambiwa wafanye nini na Urusi. Anyway Putin will pay one day for killing innocent lives!!!!
Nani kabanwa wewe,kuna member yupo Ukraine hapa,au ndo tuseme wewe ni citizen wa Russia?
We utakuwa zezeta si kwa povu hilo, kwani unalipwa shi ngapi bwa shee?Hebu onyesha Ni wapi Putin alisema watachuikua Ukraine ndani ya siku 3 tu? Ukishindwa kuweka source ya hii habari yako hapa then "toka hapo nje ya nyumba kisha angalia juu na ujipige pige kifua huku ukisema kwa sauti hakika Mimi nilipewa kichwa kwa ajili ya kufugia nywele."
Mi ukinipa huo mkufundu tu Kama malipo nitatosheka Sana.We utakuwa zezeta si kwa povu hilo, kwani unalipwa shi ngapi bwa shee?
HaswaSiyo lazima ulivyoandika kuwa sahihi,hizo ni propaganda kutoka Russia + hisia zako zilizojaa ushabiki wa Russia.
Hiyo ndio dawa ya mtu msalitimnafurahi mtu anavyoangamiza nchi ya wengine