Mbingu haipo, watu husema mbinguni kuna maisha mazuri lakini huomba waishi maisha marefu duniani

Infropreneur

JF-Expert Member
Aug 15, 2022
5,258
10,764
Kama Mbinguni kuna maisha mazuri, Kwa nini uombe kuishi maisha marefu Duniani?

Je, hutaki kufa uende huko Mbinguni kwenye maisha mazuri?

Kama Hazina zetu zipo mbinguni, Kulikuwa na haja gani ya kuumbwa ulimwengu?

Mbingu ni dhana ya kufikirika Haipo, Na hata uwezekano wa kuwepo kwake, Haupo.

You can not wish for a house of gold in Heaven while you have never touched gold right here on Earth.

If you fail to live on Earth, The fantasy of heaven is an illusion.
 
Kama Mbinguni kuna maisha mazuri, Kwa nini uombe kuishi maisha marefu Duniani?

Je hutaki kufa uende huko Mbinguni kwenye maisha mazuri?

Sasa aya yaako ya mwisho mbona inakubali unachokataa hapo juu??
 
Kula maisha

Kula maisha duniani, na mbinguni pia kula maisha.

Sidhani kama eti ni sahihi mtu kukataa kuishi utoto kisa tu kaambiwa wakubwa wanafaidi. Sio busara.

Et kisa waliojiajiri wanafaidi ndo mtu akatae kuajiriwa. No aifaidi ajira fulu na akijiajiri afaidi pia.
Same applies mtu asikatae kuishi single kisa tu ndoa tamu. La. Anatakiwa afaidi fullu usingle na ndoa nayo ikija anafaidi. Hata kama asipoingia huko afaidi potepote.

Haikatai

Kula maisha. Life is for the living lets live it.
 
Kama Mbinguni kuna maisha mazuri, Kwa nini uombe kuishi maisha marefu Duniani?

Je hutaki kufa uende huko Mbinguni kwenye maisha mazuri?

Kama Hazina zetu zipo mbinguni, Kulikuwa na haja gani ya kuumbwa ulimwengu?

Mbingu ni dhana ya kufikirika Haipo, Na hata uwezekano wa kuwepo kwake, Haupo.

You can not wish for a house of gold in Heaven while you have never touched gold right here on Earth.

If you fail to live on Earth, The fantasy of heaven is an illusion.
Wataelewa tu.
 
😀Ehe nani anabisha?
 
images (48).jpeg
 
Mkuu mbingu ipo na sio ilusion.Duniani unatakiwa uishi maisha mazuri uwe na watoto {yaani uache kizazi} na uwaachie urithi ili waweze kuongezeka na kuishi maisha ya kujitosheleza kwenye malazi mavazi na chakula.Na pia Mungu amesema ukikubali kuishi according to sheria zake utakula mema ya nchi.Na lengo la binadamu kuwepo duniani ni kuidominate dunia with no end.

Kwa hio uzazi lazima uwepo.Ila kwa kuwa kumekuwa na kifo basi kuna dunia nyengine ambayo binadamu ataenda kuishi ikiwa haina kifo {eternal life} Na huko huyu binadamu atakuwa na maisha yasio na mwisho.Na imesemwa huko mbinguni mwaka 1 ndio equivalent na miaka 1000 ya hapa duniani.
 
Kwa nini nasema mbingu ipo?? Nitaanza na biblia MWANZO 1 :6 -8"""MUNGU AKASEMA NA LIWE ANGA KATIKATI YA MAJI, LIKAYATENGE MAJI NA MAJI. 7.MUNGU AKALIFANYA ANGA, AKAYATENGA YALE MAJI YALIO JUU YA ANGA NA YALE MAJI YALIO CHINI YA ANGA; IKAWA HIVYO.8.MUNGU AKALIITA LILE ANGA MBINGU.IKAWA JIONI IKAWA ASUBUHI,SIKU YA PILI.

SASA TUKIRUDI KWENYE SAYANSI YAKO PENDWA NI KWAMBA KWA KUTUMIA JAMES WEBB TELESCOPE HAO WATAFITI WAMEGUNDUA KWENYE OUTER SPACE KUNA MAJI MENGI KUPITA MAJI YA MITO YOTE MAZIWA MABWAWA CHEMCHEM NA BAHARI ZOTE KWA PAMOJA YAANI ATLANTIKI,,PACIFIKI,,HINDI,,BLACK SEA,,RED SEA NA DEAD SEA YAANI VOLUME YA HAYO MAJI HUWEZI KUISEMA KWENYE CUBIC METERS.. KWA HIO KAMA KUNA MAJI JUU YA ANGA TENA YALIO MENGI NI PROOF TOSHA KWAMBA KILICHOANDIKWA KWENYE BIBLE NI UKWELI NA PIA MBINGU SIO KITU CHA KUSADIKIKA NI RAEL PLACE.
1690887785361.png
 
1690888240826.png

1690888392009.png

1690888494303.png

MKUU KWA SISI WAFIA DINI SAYANSI INASAIDIA KUONYESHA REALITY ILIOKWISHA KUSEMWA MIAKA MINGI SANA...YESU KRISTO ALIPOMALIZA SHUGHULI YAKE KUBWA NA MAKINI ALIOKUJA IFANYA HAPA DUNIANI ALIPAA MBINGUNI NA MCHANA KWEUPE WATU WAKIMUONA KWA NAKED EYES.HAKUKUWA NA GRAVITATION ILIOMPINGA WALA BAADA YA KUMALIZANA NA ATMOSPHERE YENYE FORCE OF GRAVITY HAKUNA FORCE ILIOMPINGA KUMFANYA AELEE AU AKOSE DIRECTION KWA KUWA ZOTE ZINAMJUA...ALIPANDA DIRECT MPAKA MBINGUNI...SASA MBINGU INA PHYSICAL AND SPRIRITUAL NATURE.NA PHYSICAL NATURE YAKE IKO WAZI.
 
Yuval noah harari ni chawa na ni mtu hopeless,,hajafanana na wazungu wenzie,,ukimuangalia maisha yake ya mlala heri unaweza ukadhani kakulia huku kwetu Nachingwea..Sasa ili akae karibu na waliberali ambao ni wapumbaf ni lazima ajikombe kwa kujifanya ni openminded person. NAONGEZEA....Nimemalizia kusoma kitabu cha huyu noha halali kinaitwa 21 lesson of 21st century mwisho kwenye kushukuru nimeona akimshukuru mume wake ndio nikajiuliza ''kumbe huyu jamaa anapakuliwa'' nikashangaa sana..Kwa sababu mimi huwa nikimuangalia siku zote namuona ana tatizo na sikuwahi kujua ana tatizo kubwa nanma hio,,,kumbe yeye ni biskuti na watu wanamuona role model wao...Very bad..Huyu ant noha hana hadhi ya kuongea chochote hana hadhi yoyote amekwisha,,kazi yake ni kumpikia mume wake,,kufua mashuka alioyanyea na kunyonya mbo o.Hana akili hata kidogo..
 
Kama Mbinguni kuna maisha mazuri, Kwa nini uombe kuishi maisha marefu Duniani?

Je hutaki kufa uende huko Mbinguni kwenye maisha mazuri?

Kama Hazina zetu zipo mbinguni, Kulikuwa na haja gani ya kuumbwa ulimwengu?

Mbingu ni dhana ya kufikirika Haipo, Na hata uwezekano wa kuwepo kwake, Haupo.

You can not wish for a house of gold in Heaven while you have never touched gold right here on Earth.

If you fail to live on Earth, The fantasy of heaven is an illusion.
Wafiadini wakija watasema ni dhambi kuwaza mambo hayo uliyoyaainisha hapo
 
Kwa nini nasema mbingu ipo?? Nitaanza na biblia MWANZO 1 :6 -8"""MUNGU AKASEMA NA LIWE ANGA KATIKATI YA MAJI, LIKAYATENGE MAJI NA MAJI. 7.MUNGU AKALIFANYA ANGA, AKAYATENGA YALE MAJI YALIO JUU YA ANGA NA YALE MAJI YALIO CHINI YA ANGA; IKAWA HIVYO.8.MUNGU AKALIITA LILE ANGA MBINGU.IKAWA JIONI IKAWA ASUBUHI,SIKU YA PILI.

SASA TUKIRUDI KWENYE SAYANSI YAKO PENDWA NI KWAMBA KWA KUTUMIA JAMES WEBB TELESCOPE HAO WATAFITI WAMEGUNDUA KWENYE OUTER SPACE KUNA MAJI MENGI KUPITA MAJI YA MITO YOTE MAZIWA MABWAWA CHEMCHEM NA BAHARI ZOTE KWA PAMOJA YAANI ATLANTIKI,,PACIFIKI,,HINDI,,BLACK SEA,,RED SEA NA DEAD SEA YAANI VOLUME YA HAYO MAJI HUWEZI KUISEMA KWENYE CUBIC METERS.. KWA HIO KAMA KUNA MAJI JUU YA ANGA TENA YALIO MENGI NI PROOF TOSHA KWAMBA KILICHOANDIKWA KWENYE BIBLE NI UKWELI NA PIA MBINGU SIO KITU CHA KUSADIKIKA NI RAEL PLACE.View attachment 2704953
Unauhakika na kuwepo kwa maji kwenye space
 
Back
Top Bottom