Mbingu haipo, watu husema mbinguni kuna maisha mazuri lakini huomba waishi maisha marefu duniani

Hii ni habari ya leo nimeitoa yahoo. Pia endelea kusoma ambavyo wamekwisha kugundua kwenye outer space uone sayari mpya walizozigundua kubwa mara tatu ya dunia na zenye maji tuu.
 
Attachments

  • EARTH LIKE PLANET.pdf
    668.8 KB · Views: 14
Hii ni habari ya leo nimeitoa yahoo. Pia endelea kusoma ambavyo wamekwisha kugundua kwenye outer space uone sayari mpya walizozigundua kubwa mara tatu ya dunia na zenye maji tuu.
Wanasayansi wanalipwa Hela nyingi sana ili ku brainwash watu.

Swala la wao kugundua vitu outer space wakati vitu vilivyopo baharini hawaja explore Kwa asilimia kubwa
 
Kama Mbinguni kuna maisha mazuri, Kwa nini uombe kuishi maisha marefu Duniani?

Je hutaki kufa uende huko Mbinguni kwenye maisha mazuri?

Kama Hazina zetu zipo mbinguni, Kulikuwa na haja gani ya kuumbwa ulimwengu?

Mbingu ni dhana ya kufikirika Haipo, Na hata uwezekano wa kuwepo kwake, Haupo.

You can not wish for a house of gold in Heaven while you have never touched gold right here on Earth.

If you fail to live on Earth, The fantasy of heaven is an illusion.
Mimi naamini waliokuzaa wewe na walio kulea wewe, walikufundisha kuhusu mbingu, kama ni kweli basi waamini tu ...maana uLivyokuwa mdogo mtoto mdogo uliwaamini sana ...japo ulikuwa hujielewi na huwezi kujielezea lakini leo hii wasema THANKS kwa MLIO NILEA NITUNZA katika Maisha yangu YA DUNIANI

So huenda na leo ukawa bado ni mtoto katika mambo ya Kiroho lakini amini tu kwamba Mbinguni kule kuna baba yako Muumba.......Ukija kukua Kiroho na kujitambua huenda ukaja kusema THANK YOU MY FATHER IN HEAVEN,

Your FLESH is grown up now
Your SPIRIT is still like a new born baby (feed your spirit with the word of God, and this is the only food for Spiritual Growth)
 
Mambo ya kiroho ni illusions.

Hazipo.
 
View attachment 2704967
View attachment 2704968
View attachment 2704969

MKUU KWA SISI WAFIA DINI SAYANSI INASAIDIA KUONYESHA REALITY ILIOKWISHA KUSEMWA MIAKA MINGI SANA...YESU KRISTO ALIPOMALIZA SHUGHULI YAKE KUBWA NA MAKINI ALIOKUJA IFANYA HAPA DUNIANI ALIPAA MBINGUNI NA MCHANA KWEUPE WATU WAKIMUONA KWA NAKED EYES.HAKUKUWA NA GRAVITATION ILIOMPINGA WALA BAADA YA KUMALIZANA NA ATMOSPHERE YENYE FORCE OF GRAVITY HAKUNA FORCE ILIOMPINGA KUMFANYA AELEE AU AKOSE DIRECTION KWA KUWA ZOTE ZINAMJUA...ALIPANDA DIRECT MPAKA MBINGUNI...SASA MBINGU INA PHYSICAL AND SPRIRITUAL NATURE.NA PHYSICAL NATURE YAKE IKO WAZI.
Stori za kufikirika izi, eti walimuona kwa naked eyes
 
Mkuu mbingu ipo na sio ilusion.Duniani unatakiwa uishi maisha mazuri uwe na watoto {yaani uache kizazi} na uwaachie urithi ili waweze kuongezeka na kuishi maisha ya kujitosheleza kwenye malazi mavazi na chakula.Na pia Mungu amesema ukikubali kuishi according to sheria zake utakula mema ya nchi.Na lengo la binadamu kuwepo duniani ni kuidominate dunia with no end.Kwa hio uzazi lazima uwepo.Ila kwa kuwa kumekuwa na kifo basi kuna dunia nyengine ambayo binadamu ataenda kuishi ikiwa haina kifo {eternal life} Na huko huyu binadamu atakuwa na maisha yasio na mwisho.Na imesemwa huko mbinguni mwaka 1 ndio equivalent na miaka 1000 ya hapa duniani.
Ukiona kitu kinahesabiwa kwa mda jua kina mwisho ata kama kina mda mrefu ila jua mwisho upo.
 
View attachment 2704967
View attachment 2704968
View attachment 2704969

MKUU KWA SISI WAFIA DINI SAYANSI INASAIDIA KUONYESHA REALITY ILIOKWISHA KUSEMWA MIAKA MINGI SANA...YESU KRISTO ALIPOMALIZA SHUGHULI YAKE KUBWA NA MAKINI ALIOKUJA IFANYA HAPA DUNIANI ALIPAA MBINGUNI NA MCHANA KWEUPE WATU WAKIMUONA KWA NAKED EYES.HAKUKUWA NA GRAVITATION ILIOMPINGA WALA BAADA YA KUMALIZANA NA ATMOSPHERE YENYE FORCE OF GRAVITY HAKUNA FORCE ILIOMPINGA KUMFANYA AELEE AU AKOSE DIRECTION KWA KUWA ZOTE ZINAMJUA...ALIPANDA DIRECT MPAKA MBINGUNI...SASA MBINGU INA PHYSICAL AND SPRIRITUAL NATURE.NA PHYSICAL NATURE YAKE IKO WAZI.
Acha uongo wew una uhakika gan haya unayosimulia kama ni kweli au stori za watu?

Weka ushahidi wa haya uliyoandika maana kiuhalisia biblia iliandikwa na watu ambao waliamua tu kutunga uongo na uongo mwingine kucopy ktk vitabu vya stories za jamii za zamani.

Uongo mwingi mnauleta hauna facts
 
Kula maisha

Kula maisha duniani, na mbinguni pia kula maisha.

Sidhani kama eti ni sahihi mtu kukataa kuishi utoto kisa tu kaambiwa wakubwa wanafaidi. Sio busara.

Et kisa waliojiajiri wanafaidi ndo mtu akatae kuajiriwa. No aifaidi ajira fulu na akijiajiri afaidi pia.
Same applies mtu asikatae kuishi single kisa tu ndoa tamu. La. Anatakiwa afaidi fullu usingle na ndoa nayo ikija anafaidi. Hata kama asipoingia huko afaidi potepote.

Haikatai

Kula maisha. Life is for the living lets live it.
Huoni hata hicho ulichonacho ni kufikirika.
 
sina hakika na mbinguni lakini maisha baada ya kifo yapo na ni mazuri lakini uzuri wake inategemea jinsi unavyoishi huku duniani kama wewe ni katili muuaji maisha yako baada ya kifo yatakuwa mabaya tunakuombea uishi maisha marefu kwasababu tunakuhitaji
 
Acha uongo wew una uhakika gan haya unayosimulia kama ni kweli au stori za watu?

Weka ushahidi wa haya uliyoandika maana kiuhalisia biblia iliandikwa na watu ambao waliamua tu kutunga uongo na uongo mwingine kucopy ktk vitabu vya stories za jamii za zamani.

Uongo mwingi mnauleta hauna facts
Mkuu Champion una uhakika gani kwamba nilichokiandika ni uongo?

Una uhakika gani kwamba biblia imetungwa na watu waliokuwa na nia ya kueneza uongo???

Una uhakika gani kwamba unachokiamini wewe au unachokiona ndio sahihi kwamba ndio ukweli wote????
 
Mbingu ipo ndugu! Tena ni halisia mambo ya rohoni usiyatafakari kwa namna ya hisia utafeli
Nakwambia hivi mbingu Haipo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Mambo ya rohoni ni imaginations just an illusion.
 
Hizi dini ni kaujinga fulani tunaaminishwa basi tu wakoloni walikua na roho zao nzuri wangesema ukitaka kuuona ufalme wa Mungu lazima utobolewe rinda sjui ingekuaje pale kwa mwamposa waumini wote wale wangetinduliwa ni mwendo wa kunuka mavi tu. Walituhurumia sana wakaamua watudanganye kidogo na sisi tukaingia kichwa kichwa
 
Back
Top Bottom