Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 3,841
- 5,829
Weak argument. Baharini kuna kitu gani kipya au cha msingi sana cha kugundua zaidi ya new species za samaki?Wanasayansi wanalipwa Hela nyingi sana ili ku brainwash watu.
Swala la wao kugundua vitu outer space wakati vitu vilivyopo baharini hawaja explore Kwa asilimia kubwa
While in outer space ni muhimu zaidi sababu ya unknown potential na probability ya kugundua new intelligent life au viumbe wengine ambao wanaweza kuwa kama na either wanaweza kutusaidia technologically au kutuangamiza. Outer Space kuna new resources na even a new home for humanity sababu hili jiwe tulilokalia earth lazima litakuja kuwa uninhabitable kusupport maisha ya viumbe au linaweza kupigwa kimondo anytime na kuface extinction.
It's a matter of preferences.