Mtoto wa tembo
Senior Member
- Oct 4, 2012
- 198
- 30
Weraaaaaaaaaaaaaaa weraaaaaaaaaa
...Gumegume la Kimandolu..... stay tuned
...Muuza majani ya mbuzi.... Kaloleni stay tuned
...Mtembelea sori Erelai............stay tuned
....Muuza viwanja Themi .......stay tuned
Vijijini wamechachamaa chaaaaaaaaa!!!
Mujini wamechachamaa Chaaaaaaaaaaa!!!!!
Mpera mpera hata ukitembea na msukule!!!!
Cdm wameshinda kwa ushindi mwembamba, sisi tumezoea ushindi wa kishindo
Hata wewe upo sahihi kwa upeo wako hasa ukizingatia jinsi tulivyowafanya kitu mbaya IrambaUpo sahihi kwa upeo wako,hata Mheshimiwa kikwete alishinda kwa kishindo 2010!!!
Kwi kwi kwi,chama cha ukabila bwana!kinanikosha sana,naona ukabila umeamia kwa wamatengo,kwi kwi kwi,peopleeeeees........
kikuingiacho si najisi bali kikutokacho....
ni karibu kabisa na machimbo ya makaa yamawe...
....Mkuu Highlander sorry!!! Kuna vitu vizuri hapo Mess nije niwekeze?
pooooooooooor!!!!!!!!!!
umbeya!
kikuingiacho si najisi bali kikutokacho....
Sii Komba alisema chadema haipo mbinga?kudadeki jeuri kwisha kazi.yeye aendelee kusinzia bungeni
Komba mwenyewe anapumulia Mashine ! 2015 hatoki , hayuko Active , nadhani tumbo limemwelemea sana ! Hata hivyo Dhuluma aliyowafanyia walimu wa SHULE YAKE inatosha .
hilo ni jimbo la mh. Gaudence kayombo, na si john komba! Tatizo mbinga hakuna viongozi wahamasishaji wa kueleweka wa chadema!ni karibu kabisa na machimbo ya makaa yamawe...