Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kimeigarakaza CCM huko wilaya ya Mbiga kijiji cha Amani Makoro kwa chadema kupata kura 58 na CCM kura 43 kijiji hiki ndiko anakotoka aliekuwa katibu mkuu wa CCM Ndg Laurence Gama nani jirani kabisa na komba..Peoplesssssssssssssss....
Labda Komba aende kuimbwa 'CCM nambari wani eheeee"....
pooooooooooor!!!!!!!!!!
Sii Komba alisema chadema haipo mbinga?kudadeki jeuri kwisha kazi.yeye aendelee kusinzia bungeni
Labda Komba aende kuimbwa 'CCM nambari wani eheeee"....
Mzee nafurahi hata wewe umetabasamu!
Habari njema kwa wa Tz na watu wake..ukomboz unakaribia
pooooooooooor!!!!!!!!!!
Weraaaaaaaaaaaaaaa weraaaaaaaaaa
...Gumegume la Kimandolu..... stay tuned
...Muuza majani ya mbuzi.... Kaloleni stay tuned
...Mtembelea sori Erelai............stay tuned
....Muuza viwanja Themi .......stay tuned
Vijijini wamechachamaa chaaaaaaaaa!!!
Mujini wamechachamaa Chaaaaaaaaaaa!!!!!
Mpera mpera hata ukitembea na msukule!!!!
Chadema ndiyo chanzo cha wanafunzi kufeli. By Komba msinziajiChama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kimeigarakaza CCM huko wilaya ya Mbiga kijiji cha Amani Makoro kwa chadema kupata kura 58 na CCM kura 43 kijiji hiki ndiko anakotoka aliekuwa katibu mkuu wa CCM Ndg Laurence Gama nani jirani kabisa na komba..Peoplesssssssssssssss....