M'bibi abakwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M'bibi abakwa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mtanzanika, Jun 18, 2012.

 1. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,209
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Bibi mmoja alibakwa wakati
  wa kesi mambo yakawa hivi:
  JUDGE:"Bibi hebu elezea mahakama
  kilichotokea usiku uiobakwa"
  NYANYA:"Nilikuwa nimelala chumbani
  mwangu,mara mlango ukavunjwa na
  akaingia yule kijana pale aliyesimama
  kizimbani"
  JUDGE:"Endelea bibi"
  NYANYA:"Si ndio akanivua nguo zote
  kisha akanipandia"
  JUDGE:"Enhe..."
  NYANYA:"Alafu tukaanza
  mchezo.....alidhani mie ***** sijui
  mambo,nilimkomesha hadi akatokwa
  na machozi..!"
  JUDGE:"Salalaaa! Tobaa!....sa
  kilichokuleta hapa mahakamani ni
  nini?"
  NYANYA:"Nataka anirekebishie mlango
  wangu aliouvunja tu! Na siku nyingine
  akija aje mapema na agonge mlango kistaarabu"
   
 2. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ningemuweka vibao huyo bibi adi angekua kijana
   
 3. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Bila shaka huyu bibi enzi za ukijana wake alikuwa mwana-uwanja wa fisi au pale buguruni
   
 4. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nani ana namba ya huyu bibi maana kwa namna alivyojieleza amenilazimisha nimtafute.
   
 5. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,209
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  bofya 0794k765645
   
 6. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  teh teh tehh!
   
Loading...