Kijana wa miaka 18 apelekwa mahakamani kwa kubaka kibibi kizee

kakuruvi

JF-Expert Member
Sep 2, 2009
748
250
Kijana wa miaka 18 anashitakiwa kumbaka bibi kizee wa watu.


Mahakamani.
Hakimu: Bibi, hebu ieleze mahakama kilichotokea.
Bibi Kizee: Nimelala nyumbani kwangu usiku wa manane. Mlango unavunjiliwa mbali na anaingia huyu kijana, aliyesimama pale.
...
Hakimu: Endelea, Bibi.
Bibi Kizee: Si, akanivua nguo zote na kunipanda.
Hakimu: Enhee!
Bibi Kizee: Akawa anakata kushoto, mimi kulia. Alidhani mimi *****!
Hakimu: Enhee!
Bibi Kizee: Kila akikata, na mimi najibu!
Hakimu: Sasa tatizo lilokuleta hapa mahakamani ni nini?
Bibi Kizee: Ajenge ule mlango aliouvunja!
 

pomo

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
265
195
kumbe yeye shida yake ni mlango kujengwa! kwahiyo akishajenga funguo mmoja akaenao au?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom