Mbezi tanki bovu yavamiwa....

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Mbezi tanki bovu yavamiwa na mateja.
Mateja wavamia na kuwapiga mawe wafanyakazi wanaotengeneza barabara
Wakidai waachiwe mabomba ya maji yanangolewa ili waka yauze kama chuma
chakavu.Baada ya kukataliwa ikawa vita.
Na sasa hivi kuna polisi wa wengi wanalinda huku wakiwakamata mateja.
 
Hii kali! Ina maana mateja wa Kawe wamekuwa na umoja hata kuunda 'jeshi' la kuvamia mchana?
 
Hii kali! Ina maana mateja wa Kawe wamekuwa na umoja hata kuunda 'jeshi' la kuvamia mchana?
Zilikuwepo defender 3 zimejaa polisi.Mpaka saa mbili usiku kuna polisi wanalinda bomba.
 
Back
Top Bottom