Huku hakuna Ngwasuma, hata maana yake hawajui!wallah....leo unalala ndani......ole wako nikuone Ngwasuma........
Tunakulana, co kula' yani namaanisha tunaenda kutendeana
Huku hakuna Ngwasuma, hata maana yake hawajui!
Kuna madude yako mbele dakika kadha kama: Paco De Lucia, Red Hot Chilli Peppers, The Beatles, Salvador Santana Rock, na mengineyo!
Tembea uone mrembo!
eenh kumbe umenipata...ila naona kama umekimbiwa hivi!
Tumeamia PM ili tupange mipango vizuri
basi hiyo poa ili kuepuka wanoko...
ujue unanichekesha
Karibu sana Arusha amu, nimeshaku pm namba zangu, afu mi nina maboga mengi hom kwangu mpaka gesti, nimeambiwa unapenda kula maboga kwa sana bibie.
Achana na st. paka mweusi huko anakokuelekeza anakupoteza lol
Naona umeamua kujilipua PakaJimmy
Mmmmmmhh! Umemwona eeee!! Tukae mbali jamani maana hii dalili ni mbaya jamani! PakaJimmy ama kweli wewe ni mwanaume wa kweli! Lily Flower nafuu hata umemwona unisaidie baadae kujibu maswali mawili matatu!
ahsante sana na ilibakia kidogo leo nivae hiyo jezi ya liva ila nikaipotezea
haya nitawajuza
Sijambo marakhaba.
Huko Tanga nalala na nani?
Hahahhahaaaaa kweli kabisa....asingesema Mbezi ungekuwa sahihi ila kwa huko hawezipitia dom so lazma Moshi imuhusu.nani kakwambia anapitia Moshi....?.....muache kukariri........