Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Hehehe! Umefulia eeh? Lala tu mwaya!
Hehehe! Umefulia eeh? Lala tu mwaya!
safi sana nikutakie afya njema na hongera kwa kuongeza umri
kufulia nimefulia kweli but am heartbroken
Pole mpenzi, nani tena anavunja moyo wa wifi langu?kufulia nimefulia kweli but am heartbroken
Ghost ni huyo aliyewapigia stori za kiwanja!Mwenzio katupigia stori za kiwanja jana, wewe unasema umekesha nae kwenye maombi? Au ulikuwa na ghost!
Hivi huyu amu ako pande gani?
shoga huyo mumeo balaa yaani ananisumbua sana
ila jana ulifanya vizuri kumfungia naomba umfungie hivyo hivyo mpaka jumatatu nikiondoka
!!! Ila kazi unayo
Wale wa Babati utawaweza au unashoka tu