Mbezi Mwisho yapata round about

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,824
6,254
Kuna msemo kuwa ukiona mji hauna Round about/keep left basi ujue huo ni mji jina tu. Kama ilivyokuwa kipindi manyara inapewa hadhi ya kuwa mkoa watu walihoji ni vip makao makuu ya mkoa/Babati kusiwe na round about! !!!!!!

Hakika ni fahari kwetu wakazi wa mbezi kwani ni dalili njema kuwa mbezi itakuwa na hadhi ya juu kuliko Kimara, Ubungo nk. Hasa soko kuu na stand ya mkoa zitakapojengwa mbezi.

Asante Rais wetu Magufuli . Asante Mkuu wa mkoa Mh Paul Makonda.

20161225_174934-jpg.450258
 
Makanga wira INA wene .....
Kachiriiii saga.....
Madame B njoo tulicheze Njenje la Xmas eve
 
Ila wakazi nao wanatakiwa kwenda sambamba na mabadiliko. Yaani wabadilike kifikira. Sio wanabaki kuwa walugaluga. Wawe wajanja. Siokudanganywa kitoto
 
Medina. Nani
Ila wakazi nao wanatakiwa kwenda sambamba na mabadiliko. Yaani wabadilike kifikira. Sio wanabaki kuwa walugaluga. Wawe wajanja. Siokudanganywa ki
Mlugaluga ? Njoo uone pichu ikivuliwa skin tight ikopalepale na uroda ushaliwa
 
20161225_174021.jpg
Baadhi ya wakazi wa Mbezi mwisho wakiwa wamesimama muda mrefu wakisubiria kushuhudia mazingaumbwe na promotion za dawa za kienyeji kama vile :
1.nguvu za kiume
2. Kumthibiti mwanaume awe bwege. Hata likizabwa kibao litoe pole kama kiganja cha mke Kimepata msukosuko
3. Mvuto ktk penzi.
 
Back
Top Bottom