Mbezi Mwisho yapata round about

Mbezi Mwisho yapata round about

Kuna msemo kuwa ukiona mji hauna Round about/keep left basi ujue huo ni mji jina tu. Kama ilivyokuwa kipindi manyara inapewa hadhi ya kuwa mkoa watu walihoji ni vip makao makuu ya mkoa/Babati kusiwe na round about! !!!!!!

Hakika ni fahari kwetu wakazi wa mbezi kwani ni dalili njema kuwa mbezi itakuwa na hadhi ya juu kuliko Kimara, Ubungo nk. Hasa soko kuu na stand ya mkoa zitakapojengwa mbezi.

Asante Rais wetu Magufuli . Asante Mkuu wa mkoa Mh Paul Makonda.
Mbezi na Kimara aziwezi kuifikia ubungo hata kwa chembe, uwekezaji uliopo ubungo ni mkubwa uwezi kulinganisha na izo mbezi na kimara
Miradi iliyopo ubungo na yenye kufanya watu wengi kuja Ubungo

1. Tanesco Co.
2. Wizara ya maji
3. University of Dar es salaam Tanzania
4. Mlimani city
5. Ubungo plaza
6. Ubungo Millennium business Park
7. Songas Co.
8. Kibuku Co.
9. Godown
10. Mawasiliano business center
11. Bank zote zipo Ubungo ambazo zinafanya watu wengi kuja Ubungo

Nyingine sijataja kwa ubungo sio ya kulinganisha na sehemu izo nyingine nyingine
Stand ya mkoa sijaiweka kwa sababu itahama
 
Upo sahihi mzee wa Msewe. Nilichomekea tu ila kiukweli Ubungo ni habari ingine. So far wakazi wa mbezi wanachofurahia ni kuona foleni inapungua. Huwa kunakuwa na kafoleni mida ya jioni na asubuhi
 
Pale palitakiwa barabara ya kuvuka juu ili magari yanayoingia mjini yasiwe na mkwamo! Naona tan roads uwexo wao wa kufikiri unatia mashaka! Ndyamkama upo?
 
Kunahaja pia Makao makuu ya Wilaya ya Ubungo yaliyopo Kibamba kuboreshwe ili kuendane na hadhi ya Makao ya Wilaya, hilo ni jukumu la Mkuu mpya wa Wilaya.
 
Round about kwa hali ya mtanzania zinamsaidia nini (samahani kwa swali)
 
Round about itawasaidia watoto kuwa busy maana watakuwa wamepata pa kwenda kuzunguka.
Hii nayo ni habari ya kuipongeza serikali
 
FB_IMG_1481518723483.jpg

mbezi Goba Junction..
 
Pale palitakiwa barabara ya kuvuka juu ili magari yanayoingia mjini yasiwe na mkwamo! Naona tan roads uwexo wao wa kufikiri unatia mashaka! Ndyamkama upo?
Yaani kila siku najiuliza Round about ya nini sehemu yenye magari mengi kama ile?, shida ya Tanzania ni hiyo yankujenganleo baada ya miaka mitano unavunja,
 
Kunahaja pia Makao makuu ya Wilaya ya Ubungo yaliyopo Kibamba kuboreshwe ili kuendane na hadhi ya Makao ya Wilaya, hilo ni jukumu la Mkuu mpya wa Wilaya.

Yale ya Kibamba ni makao makuu ya muda tu, yenyewe yatajengwa kwenye pori la Veterinary lililopo Kwembe karibu na shule ya Johanson Barbo

Mbezi itabadirika sana, maana wakijenga soko kubwa, Kituo cha mabasi ya Mikoani, Machinjio ya kisasa na mall za maana patakuwa pazuri sana
 
Pale palitakiwa barabara ya kuvuka juu ili magari yanayoingia mjini yasiwe na mkwamo! Naona tan roads uwexo wao wa kufikiri unatia mashaka! Ndyamkama upo?
Mimi naona kabla awajatengeneza barabara wangekuwa wanakusnya maoni
Mfano mzuri kutoka tegeta na wazo Hill kuja mbezi ni karibu kulitakiwa kuwepo na barabara muda mrefu sana
 
Pale palitakiwa barabara ya kuvuka juu ili magari yanayoingia mjini yasiwe na mkwamo! Naona tan roads uwexo wao wa kufikiri unatia mashaka! Ndyamkama upo?
Sio tanroads tu, nahisi uwezo wa kufikiri wa watanzania wengi ni mdogo sana. Tuna shida sana sisi, au umasikini nao huchangia, sijui.

Pale mbezi sio pa kujenga roundabout, baada ya 10yrs lazima wataivunja. Pale palitakiwa complex construction, kwa sababu ni main gate ya jiji.
 
Back
Top Bottom