Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,760
- 7,467
Kweli kabisa mkuu, Umasikini ni kitu kibaya sana. Inafikia kipindi mtu anawaza mambo ya miaka miwili badala kuwaza long term plans. Mfano daraja la wavuka kwa miguu pale Buguruni, hata sielewi maana ake nini paleSio tanroads tu, nahisi uwezo wa kufikiri wa watanzania wengi ni mdogo sana. Tuna shida sana sisi, au umasikini nao huchangia, sijui.
Pale mbezi sio pa kujenga roundabout, baada ya 10yrs lazima wataivunja. Pale palitakiwa complex construction, kwa sababu ni main gate ya jiji.