Mbezi Mwisho palivyonitoa ushamba

Mbezi Mwisho palivyonitoa ushamba

Oxpower

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,179
Reaction score
3,103
Hope mko salama

Nina muda mrefu sana sijapita Mbezi Mwisho nikiwa nadrive mwenyewe.

Sasa leo nmetoka Kibaha uelekeo ukiwa ni Tabata na lengo nipite hii njia ya Maramba Kinyerezi kisha Tabata. Nilipofika Mbezi Mwisho pale ile sijui niite ni round about au ni kitu gani.

Nimehangaika sana yani, mwisho wa siku nikafanikiwa baada ya mahangaiko mengi.

Ugeni na ushamba wa barabara hii umechangia lakini pia hapo kuna jambo itabidi lifanyike maana kinachotumika kwa madereva hapa ni uzoefu tu.

Serikali inaweza ona namna ya kuweka interchange hapo hapo
 
Hope mko salama

Nina muda mrefu sana sijapita mbezi mwisho nikiwa nadrive mwenyewe.

Sasa leo nmetoka kibaha uelekeo ukiwa ni tabata na lengo nipite hii njia ya maramba kinyerezi kisha tabata.nilipofika mbezi mwisho pale ile sijui niite ni round about au ni kitu gani.

Nimehangaika sana yani,mwisho wa siku nikafanikiwa baada ya mahangaiko mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pako poa sana sisi wakavi
 
Kama unatokea Kibamba ukifika kwa Yusuph ingia kushoto kuna kibao wameweka kisha mbele kidogo kuna roundabout ingia kulia kama unaenda stendi ya Magufuli mbele kidogo utakuta roundabout nyingine ingia kulia endelea tena utakuta roundabout nyingine ingia kulia mbele tena kuna roundabout ingia kushoto nyosha moja kwa moja utatokea kwenye junction ya kwenda Maramba mawili.
 
Kama unatokea kibamba ukifika kwa yusuph ingia kushoto kuna kibao wameweka kisha mbele kidogo kuna roundabout ingia kulia kama unaenda stedi ya Magufuli mbele kidogo utakuta roundabout nyingine ingia kulia endelea tena utakuta roundabout nyingine ingia kulia mbele tena kuna roundabout ingia kushoto nyosha moja kwa moja utatokea kwenye junction ya kwenda maramba mawili.
Sasa mkuu hapo lazima mtu uwe mwenyeji, kama ni mara ya kwanza lazima uteseke kama mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hope mko salama

Nina muda mrefu sana sijapita mbezi mwisho nikiwa nadrive mwenyewe.

Sasa leo nmetoka kibaha uelekeo ukiwa ni tabata na lengo nipite hii njia ya maramba kinyerezi kisha tabata.nilipofika mbezi mwisho pale ile sijui niite ni round about au ni kitu gani.

Nimehangaika sana yani,mwisho wa siku nikafanikiwa baada ya mahangaiko mengi.

Ugeni na ushamba wa barabara hii umechangia lakini pia hapo kuna jambo itabidi lifanyike maana kinachotumika kwa madereva hapa ni uzoefu tu.

Serikali inaweza ona namna ya kuweka interchange hapo hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mbunifu alichemka sana...haielewwki ni kitu gani
 
Pale Mbezi wapo sahihi Kwa sababu diversion inatengenezwa kulingana na mahali barabara zinazochepuka zilipo, kosa kubwa la Serikali na mamlaka husika ni kutoweka clear information pande zote za barabara unapoaproach hizo interchange.

Na Kwa jinsi palivyo complex Kwa mgeni zilitakiwa hata ziwepo kwenye mabango makubwa na kwenye Google map kuonyesha ramani nzima .....

Sasa sijui tukifika huku itakuwaje 🙄

55fb18a3ce341ac0883d85da0dd92c75.jpg

IMG_20230202_213710.jpg
 
Hope mko salama

Nina muda mrefu sana sijapita mbezi mwisho nikiwa nadrive mwenyewe.

Sasa leo nmetoka kibaha uelekeo ukiwa ni tabata na lengo nipite hii njia ya maramba kinyerezi kisha tabata.nilipofika mbezi mwisho pale ile sijui niite ni round about au ni kitu gani.

Nimehangaika sana yani,mwisho wa siku nikafanikiwa baada ya mahangaiko mengi.

Ugeni na ushamba wa barabara hii umechangia lakini pia hapo kuna jambo itabidi lifanyike maana kinachotumika kwa madereva hapa ni uzoefu tu.

Serikali inaweza ona namna ya kuweka interchange hapo hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unatoka Kimbamba kutoka kwa Yusuph hadi njia panda ya Goba kuna round about sita

USSR
 
Back
Top Bottom