Mbezi Mwisho - Lodge gani nzuri

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,526
3,802
Habari zenu wakuu,

Natoka mkoani nipo njiani nakuja Dar kufatilia ishu fulani St. Joseph nimeambiwa ipo Mbezi Mwisho, kwahiyo nataka nilale hapo Mbezi Mwisho ili kesho asubuhi nikiamka nishughulike na hiyo ishu.

Naombeni mniambie Lodge nzuri maeneo hayo ambayo naweza kupata kwa bei nafuu, nashukuruni sana.
 
Mkuu nenda mbezi kwa yusuph kama unakuja huku dar. Mkono wa kushoto hapo hapo unaposhukia ingia hiyo hiyo njia ipo ya maana sana tena unachagua self au kawaida!!
 
Muwe mnakawaida ya kumsaidia mtu bila ya kujua jinsia yk km kweli wataka mpa msaada kama wengine tupatavyo msaada humu ndani kwani ukishajua jinsia utataka number ya simu ukampokee ama ?fikirieni ndugu ungekuwa wewe unaenda kigoma halafu ukahitaji msaada hlf mtu akuulize jinsia yk utajifeel vipi
 
Habari zenu wakuu,

Natoka mkoani nipo njiani nakuja Dar kufatilia ishu fulani St. Joseph nimeambiwa ipo Mbezi Mwisho, kwahiyo nataka nilale hapo Mbezi Mwisho ili kesho asubuhi nikiamka nishughulike na hiyo ishu.

Naombeni mniambie Lodge nzuri maeneo hayo ambayo naweza kupata kwa bei nafuu, nashukuruni sana.

Shuka kituo cha kibanda cha mkaa mbele kidogo ya mbezi mwisho, utawakuta bodaboda waambie wakupeleke Comfort Lodge, si mbali maana unalipia jero tu bodaboda
 
Muwe mnakawaida ya kumsaidia mtu bila ya kujua jinsia yk km kweli wataka mpa msaada kama wengine tupatavyo msaada humu ndani kwani ukishajua jinsia utataka number ya simu ukampokee ama ?fikirieni ndugu ungekuwa wewe unaenda kigoma halafu ukahitaji msaada hlf mtu akuulize jinsia yk utajifeel vipi
ni muhimu kujua jinsia mkuu ili apate huduma
 
Shuka kituo cha kibanda cha mkaa mbele kidogo ya mbezi mwisho, utawakuta bodaboda waambie wakupeleke Comfort Lodge, si mbali maana unalipia jero tu bodaboda
Kibanda cha mkaa mbali sana na hicho chuo chao, ashukie Kibamba kwa mangi, then achukue bodaboda ampeleke Ungwasi Motel, ni pazuri patamfaa na kutoka hapo kwenda chuo unatembea hata kwa miguu maana unapita kituo kimoja tu then chuo.
 
Ok, anyway kwa sababu alisema anashukia Mbezi mwisho. Siyo kesi na wala sina maslahi yoyote ndugu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom