Lodge gani nzuri Magufuli Bus Stend Mbezi?

Lodge gani nzuri Magufuli Bus Stend Mbezi?

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,789
Reaction score
4,480
Wakuu nauliza Lodge gani nzuri na bei rahisi stend mpya ya Magufuli Bus Stand- Mbezi Mwisho
 
Ruwaaikambe, iko nyuma tu ya stendi hauhitaji hata pikipiki kufika.
Nyingine Double M mwambie bodaboda akupeleke ni buku tu!
Kuna kyoro ila sio nzuri ya kiloko loko sana
 
Atakua na abiria katoka nae Tunduma anataka akapige kimahasihara
Hakuna mkuu Niko mjini naenda mkoa Sasa nakaa mbali kinoma vikindu huku sabora nkalele uko uko jirani nastend
 
Hakuna mkuu Niko mjini naenda mkoa Sasa nakaa mbali kinoma vikindu huku sabora nkalele uko uko jirani nastend
Nakushauri uondoke Vikindu saa 7 kisha uingie Buguruni au Kariakoo kisha tafuta usafiri wa Mbezi utafika saa 10 alfajiri unazuga kidogo unazama kwenye ndinga, pale kuna vyoo mia mbili tu unapiga mswaki unasubiri wawashe basi saa kumi na moja unazama
 
Ruwaaikambe, iko nyuma tu ya stendi hauhitaji hata pikipiki kufika.
Nyingine Double M mwambie bodaboda akupeleke ni buku tu!
Kuna kyoro ila sio nzuri ya kiloko loko sana
Bei zake?
 
Bei zake?
Bei zake sizifahamu sana, ila hazitozidi bei za kizalendo. Itakuwa around 15k, double M kidogo ya kishua shua kimtindo inaweza kuwa juu kidogo ya hizo nyingine!!
 
Back
Top Bottom