Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
Bado najiuliza kwanini mbezi kimara haina hata bank moja?
Inakuwaje Bank sinaegemea pande nyingine lakini sio kimara
Mbezi kimara ina watu wengi lakin haina bank ya kusadia wakzi wa huku
kufanya shughuli za kibenki

Kimara sio eneo salama la kuweka benki, kila siku ujambazi mkubwa utasikia unafanyika Kimara.
Sawa kabisa na sio kila Eneo la wakazi panastahili Benk km Tandika au Oysterbay, Je Kimara kuna Ofisi za Kibiashara zinazotumia malipo ya Kibenki? huenda kuna walanguzi wanaouza mahitaji madogomadogo km vyakula, Mabaa, Mitumba ambapo hawa sio wawekaji wa fedha benki kwani kesho tu ataenda Kariakoo kununua au ataletewa Vinywaji kwa mkopoKimara sio eneo salama la kuweka benki, kila siku ujambazi mkubwa utasikia unafanyika Kimara.
kwani mbona manzese kuna wizi lkn kuna benki?? tatizo la wachaga wa huku kwetu ni moja tu kila mtu anataka kuwa na maeneo makubwa utafikiri watazikiwa yote halafu hawayaendelezi wakijeng asana ni vijumba vya mabati ya kubipu ili wapangishe watu. kibaya zaid maeneo ya mbezi wameweka atm ila sio mazuri sana. kibamba walijaribukuweka ACB ila mwenye nyumba alikwa longolongo wakaondoka.Kimara sio eneo salama la kuweka benki, kila siku ujambazi mkubwa utasikia unafanyika Kimara.
kwani mbona manzese kuna wizi lkn kuna benki?? tatizo la wachaga wa huku kwetu ni moja tu kila mtu anataka kuwa na maeneo makubwa utafikiri watazikiwa yote halafu hawayaendelezi wakijeng asana ni vijumba vya mabati ya kubipu ili wapangishe watu. kibaya zaid maeneo ya mbezi wameweka atm ila sio mazuri sana. kibamba walijaribukuweka ACB ila mwenye nyumba alikwa longolongo wakaondoka.
nawashauri wajenge majengo makubwa watapata mabenki tu.
Kwani huko kwenu hamuwezi kuji organize mkaanzisha hata zile banki za vijijini?