MBEZI KIMARA HAKUNA BANK;Nani kawaloga?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,270
675
Bado najiuliza kwanini mbezi kimara haina hata bank moja?

Inakuwaje Bank sinaegemea pande nyingine lakini sio kimara

Mbezi kimara ina watu wengi lakin haina bank ya kusadia wakzi wa huku
kufanya shughuli za kibenki
 
kaka,watu wenye bank wa lots of cosiderations in settting up those branches.may be ungeanza kuwauliza vigezo vyao...
 
Nimejaribu kufuatilia hata mm nashindwa kuelewa tatizo,ila kuna habari niliambiwa kuwa Nmb walitaka kukodi eneo jengo la Neema dispensary pale kimara stop over wafungue tawi mwenye zahanati akakataa,inavyoonekana tatizo ni majengo ya kuweka hizo bank
 
Kurogwa kunatokana wapi? I.d.i.o.t. And whats the big deal anyway about a d.a.m.n bank? Sisi shida yetu kubwa ni maji. Barabara at least wanaparuaga from time to time.
 
Wachaga wa kimara wana hela nyingi lakini hawaweki bank. na biashara zao ni za cash na hawalipi kodi. haya ni mawazo yangu:glasses-nerdy:
 
Kimara sio eneo salama la kuweka benki, kila siku ujambazi mkubwa utasikia unafanyika Kimara.
Bado najiuliza kwanini mbezi kimara haina hata bank moja?

Inakuwaje Bank sinaegemea pande nyingine lakini sio kimara

Mbezi kimara ina watu wengi lakin haina bank ya kusadia wakzi wa huku
kufanya shughuli za kibenki
 
Bado najiuliza kwanini mbezi kimara haina hata bank moja?

Inakuwaje Bank sinaegemea pande nyingine lakini sio kimara

Mbezi kimara ina watu wengi lakin haina bank ya kusadia wakzi wa huku
kufanya shughuli za kibenki

Wenye majengo, ambamo hupgwa na bank kutoa huduma hawakuwekeza pande hiyo kwa kua maeneo mengi hayakupimwa na kama yalipimwa ni kama mashamba sio viwanja(commercial).

Itachukua muda pande hiyo kuka sawa, sijui ule mradi wa satelite city kibamba umeishia wp?
 
bank zote zipo new bagamoyo road,na mbagala teh teh!ujambazi mbezi kimara ni balaa wameshaua class mates zangu 2
 
Ukitoka Ubungo tawi lingine la benki liko Kibaha Maili Moja, eneo lote kuanzia Kimara, Mbezi, Kibamba hadi Kiluvya hakuna tawi lolote la benki, labda kama kuna mtu wa benki anapita hapa JF angetujuza kwa undani zaidi nini sababu.
 
Kimara sio eneo salama la kuweka benki, kila siku ujambazi mkubwa utasikia unafanyika Kimara.
Sawa kabisa na sio kila Eneo la wakazi panastahili Benk km Tandika au Oysterbay, Je Kimara kuna Ofisi za Kibiashara zinazotumia malipo ya Kibenki? huenda kuna walanguzi wanaouza mahitaji madogomadogo km vyakula, Mabaa, Mitumba ambapo hawa sio wawekaji wa fedha benki kwani kesho tu ataenda Kariakoo kununua au ataletewa Vinywaji kwa mkopo
Saccos au Vikoba zingetosha kuwawekea wakazi wa Kimara ambao hata Milioni 40 inaruhusiwa kulala kwa siku katika saccos
Tawi la Benki linatosha kukaa na hela hata mwaka, kwa ajili ya mishahara ya Serikali nk na mteja unaweza kuagiza vifaa gari na bidhaa hata nje na pesa za kigeni.
Kimara kweli inakuwa iko siku patawekwa Benk na ofisi za Mkuu wa Wilaya hapo Mishahara ni lazima ipitie Bank
 
Mbezi kimara ni makazi maalum kwa wakimbizi wa kiuchumi wa kichaga, waliokimbia shida na dhiki huko kwao Kilimanjaro. Wanaendesha maisha yao kwa kujikimu kwa biashara ndogo ndogo za kushona viatu na kukarabati saa za motima na Seiko 5. Kazi hizi hazina kipato cha kutosheleza kuweka akiba au kutumia benki kulipa. Hii ndio sababu huwezi kumuona muhindi wala tawi la benki huko kimara.
 
Kimara sio eneo salama la kuweka benki, kila siku ujambazi mkubwa utasikia unafanyika Kimara.
kwani mbona manzese kuna wizi lkn kuna benki?? tatizo la wachaga wa huku kwetu ni moja tu kila mtu anataka kuwa na maeneo makubwa utafikiri watazikiwa yote halafu hawayaendelezi wakijeng asana ni vijumba vya mabati ya kubipu ili wapangishe watu. kibaya zaid maeneo ya mbezi wameweka atm ila sio mazuri sana. kibamba walijaribukuweka ACB ila mwenye nyumba alikwa longolongo wakaondoka.

nawashauri wajenge majengo makubwa watapata mabenki tu.
 
Kwani huko kwenu hamuwezi kuji organize mkaanzisha hata zile banki za vijijini?

sasa ngoja nikwambie huku VICOBA vyetu ni zaid ya benki, na saccos zetu pia cha ajabu ni kwamba wananchi wengi wa hawawazi sana ishu za mabenki.

usisahau kwamba ili benki iwepo inatakiwa iwe eneo lililopimwa na linalolipiwa kodi weng wenye maeneo huku yapo sehem zisizo pimwa, maeneo ya barabara kiasi kwamba bado ni kurisk tu.
 
Bado najiuliza kwanini mbezi kimara haina hata bank moja?

Inakuwaje Bank sinaegemea pande nyingine lakini sio kimara

Mbezi kimara ina watu wengi lakin haina bank ya kusadia wakzi wa huku
kufanya shughuli za kibenki

Ukanda huu kuna wachaga wengi mno
 
Kimara sio eneo salama la kuweka benki, kila siku ujambazi mkubwa utasikia unafanyika Kimara.

Hii ni sababu kweli, maana kuna wakati nilikuwa naongea na watu wa security-ultimate na knight support kuhusu bei zao wakasema inategemea na eneo nk, wakasema maeneo mengine kama mbezi ya kimara hawapendelei kwakua miundombinu yake sio supportise incase imetokea kama moto, ujambazi nk...
 
Kimara Suka ilipo Gapco Gas Stop kuna CRDB ATM.
Mbezi Kwa Msuguri/Cha Zamani kuna NMB ATM.
Mbezi Luis (Mwisho) kuna NBC ATM
Mbezi Luis (Mwisho) karibu na stendi mpya next to fremu za mama Lema kuna ujenzi wa bank unaendelea ingawa sifahamu ni bank ipi haswa.

Taratibu benki zitajengwa tu...
 
mimi pia ni mkazi mtarajiwa huku nashangaa hata atm tu? nilipouliza walinambia ukihitaji kiasi chochote kwa mpesa utapata naona nao wameridhika na mpesa vile wengi ni wafanyabiashara hela inazunguka na iliyobank haina urgency ya kuitoa kila siku kama ilivyo kwa wafanyakazi. Kusema kweli Kimara wengi ni business na sio kama mbezi beach, Pia aliyesema wameshika maeneo makubwa ni kweli huku watu sio wengi sana maana wanamiliki maeneo makubwa na wapangaji sio wengi wala wa room moja moja ie population density ni ndogo
Ila nawakubali ni wafanyabiashara wazuri sana.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom