Mbezi beach vs Makongo High school

Mbezi beach vs Makongo High school

MENISON

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
726
Reaction score
623
Habari?
Nina mtoto wa kike F1 namhamisha toka Mtwara nikae nae hapa Dar , kati ya shule hizo mbili nimpeleke ipi?
Ada nimeuliza najua ila waliosoma hizo shule tupeni mazuri na mabaya, nasikia Makongo na boarding ipo.
Kitaaluma zaidi na nidhamu
 
Back
Top Bottom