Mbeya ya pili kwa utitiri wa madhehebu Afrika

Pia inaongoza kwa Guest house nawikiend zote zinajaa hadi za vichochoroni nimejionea ktk maeneo mengi ikiwemo mbalizi
 
Wingi wa makanisa wingi wa dhambi kama ilivyo wingi wa vituo vya polisi na mahakama wingi wa uhalifu.
 
Yana umuhimu mkuu hebu fikiria yasingekuwepo haya matukio si yangekuwa mara tatu ya hapo.
Umejiuliza ni kwanini matukio hayo yatokee Mbeya kwenye makanisa mengi..?? Kwann maeneo ambayo hakuna utitiri wa makanisa vitendo hivyo hakuna...??

Huenda labda kuna uhusiano wa moja kwa moja wa ongezeko la makanisa Mbeya na matukio hayo...

Madhehebu mengi ya kilokole hayana tofauti na waganga wa kienyeji...hawa ndio wamekuwa wachonganishi na watu wa kufarakanisha jamiii....Mchungaji au nabii uchwara mmoja anayejifanya anatabiri yuko radhi akuambie jirani/ mama yako eti ni mchawi au ndio anakuloga...Unategemea nini hapo..kama si mauaji..


Rejea mauaji ya Watafiti Dodoma, mauaji yale yalichangiwa kwa kiasi kikubwa na Mchungaji wa Kilokole...
 
Ukiona mtu kalewa kilevi cha dini basi usishangae kumkuta ni mfitinishi na mtu aliepotoka haswa, Hatukatai kuabudu ili isiwe too much ivo inaleta utahira
Ni kweli kabisa....Hawa tunawaita extremist. ..

Mkuu unaweza rejea mauaji ya Watafiti kule Dodoma...Yale mauaji yalichangiwa na mchungaji wa kiokole..
 
Wewe ni mtu usiyejitambua. These are only two cases. Hakuna katika link ambapo Mkoa wa Mbeya umetajwa kuongoza kwa mauaji ya albino. Ni vema kusoma na ukaelewa. Ni vema pia kusoma with an open mind than with a closed one.
You are no better than an ignorant.
We ngedere acha ujinga weye!!! Mbeya inaongoza kwa mauaji ya vikongwe na albino....

Hivi uchunaji wa ngozi ulikuwa Shy..??
 
Back
Top Bottom