Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 13,628
- 28,781
dah! pc namsoma sana mzaz but roma simpati mi niko kota f.f.u!!!!!
Safi sana, Roma anakaa kota za magereza karibu na bwalo pale. Nilikua huko last July nimemiss sana kitaa aisee
dah! pc namsoma sana mzaz but roma simpati mi niko kota f.f.u!!!!!
Ngujubwaje Ushirika tky wapo kweli?
dah! hata tukuyu sipafaham malaika embu njoo tufahamiane zaid!!!
Forest ya zamani karibia na sabasaba ndio home.. Mbeya daima
Kama tukuyu tu hupafahamu, chunya utaijua wew kweli!
watu8Ilikuwa mitaa yangu hiyo enzi hizo nikiwa kijana...
In fwakti nilikuwa natughasya iforesiti ya zamani karibu na Mzee Tweve au Mama Bhughali ...
sijawai kuishi tukuyu but kuna ndungu zangu wapo pande za chunya mkwajuni vp malaika unatokea chunya?!
Green city forest ya zamani hapa maeneo ya Mzumbe waungwana.
Ilikuwa mitaa yangu hiyo enzi hizo nikiwa kijana...
In fwakti nilikuwa natughasya iforesiti ya zamani karibu na Mzee Tweve au Mama Bhughali ...
Dah unanikumbusha kitaa mkuu chips za Anania, totoz za mzumbe na mambo kibao
Anania bado yupo km kawaida haaahaa jamaa fundi raia wanatoka mjini kufata chips pale tena kuna foleni ya totoz za mzumbe ni shidaaaa
Anania bado yupo km kawaida haaahaa jamaa fundi raia wanatoka mjini kufata chips pale tena kuna foleni ya totoz za mzumbe ni shidaaaa
Gaga kadege yupo? Last time I met him comfort kitonga mwaka Jana aliniona akaniita kwa sauti kinoma katikati ya watu hadi aibu mzee
Hahah nakumbuka hilo tangazo, kile kibanda toka 90s kiko vile vile wateja wanaongezeka ila hamna mabadiliko ya mazingira. Bonanza sijaingia kitambo sana
Ndio mitaa yangu hiyo bro yani kama nikidisclose my real identity lazima unanijua akina Rama, Tei, Bariki na Bernard Gemba, Gaga, Steve byser, Ibu, marehemu Eric wote wanangu
Kwa watu uliowataja tunafahamiana vzr kbs mtani Rama yuko Zambia,Gemba anasoma Mafinga hapo kijana Ibu kaweka kambi Tunduma kafungua saloon tena haaaahaa vile hauja-disclose nshaanza km kukusoma haaaha.
Anania bado yupo km kawaida haaahaa jamaa fundi raia wanatoka mjini kufata chips pale tena kuna foleni ya totoz za mzumbe ni shidaaaa