MBEYA WING SPECIAL THREAD: hata kama hauko mbeya thread inakuhusu!!!

MBEYA WING SPECIAL THREAD: hata kama hauko mbeya thread inakuhusu!!!

Namkumbukaga jamaa mmoja pande za Isanga mid 80s alikuwa anauza karanga alikuwa maarufu kama kababa....wapi stend ya Chunya enzi hizo..!?
 
heheheheheheheeeeeeeeeeeeiyaaaa!!!
mmeamua kujitangaza kama biashara matangazo
mtajisaka mtaishia :violin::violin::violin::violin:
 
mama yangu weee aisee juakal umenikumbusha jaman pale kwa baba furaha anauza karanga tamu hataaar

yap mzee baba furaha yupo in short juakali mitaa yangu sana vp unapakumbuka kwa msukuma
 
Jambo gani nililokukumbusha weye...

Mzee Tweve aliishi zamani sana na sasq ni marehemu...

Enzi hizo kiota cha maraha Forest nzima ilikuwa ni Summer Night, sijui kama hii bar ipo!!!

watu8 usinikumbushe mitaa ya Meta
 
Last edited by a moderator:
yap mzee baba furaha yupo in short juakali mitaa yangu sana vp unapakumbuka kwa msukuma

hahahaaaa umeniacha hoi kwa msukuma napapata sana kuna cku nilikuwa na tafuta vocha ya TTCL niliipata kwake na zantel ilikuwa zaman kidogo
 
hahahaaaa umeniacha hoi kwa msukuma napapata sana kuna cku nilikuwa na tafuta vocha ya TTCL niliipata kwake na zantel ilikuwa zaman kidogo

dah! so juakali inaonekana ilikuwa mitaa yako sana manka?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom