Jambo gani nililokukumbusha weye...
Mzee Tweve aliishi zamani sana na sasq ni marehemu...
Enzi hizo kiota cha maraha Forest nzima ilikuwa ni Summer Night, sijui kama hii bar ipo!!!
Mambo vp to all jf members whatever you are i hope wote mko fresh na mishe zinasonga,nisiwatie uchovu kwa mara nyingi nimeweza kusikia arusha wing,tanga wing,dar wing ndani ya jukwaa but nahisi wana MBEYA tumejitenga sana katika jukwaa please naomba tufahamiane ili kuweza kutengeneza umoja wetu!!! ASUBUHI NJEMA
Umeniua na in fwakti mkuu. Hiyo ndo mitaa yangu born&raised
Umeniua na in fwakti mkuu. Hiyo ndo mitaa yangu born&raised
Sijafika mitaa hiyo for some time
Hivi the Vibes ina operate?
Umeniua na in fwakti mkuu. Hiyo ndo mitaa yangu born&raised
Isyesye
Kuna Mhindi mmoja alikuwa anaitwa Kassim sijui kama yupo yule mzee...(ila ni zamani sana nina wasiwasi hutakuwa wamjua maana ni miaka ya 80 mwishoni na 90 mwanzoni).
Sijafika mitaa hiyo for some time
Hivi the Vibes ina operate?
hoya mwanangu uni PM tutafutane ukirudi mbeya kaka!
Last time niko pale ilikua inafanyiwa renovation and Its name was changed to new maisha club
mbeya mjini kata ya iyunga mtaa wa kalobe teh umewah fika ndugu?
mbeya mjini kata ya iyunga mtaa wa kalobe teh umewah fika ndugu?
mitaa yangu iyo pande za juakali!