Mbeya waapa kumkata Lowassa kwa mara ya pili

Mbeya waapa kumkata Lowassa kwa mara ya pili

Hizo ni ndoto za mchana,mimi niko mbeya mjini kila kona ni lowassa na sugu.
 
Hivi kuna haja ya kumjibu mtu kwa matusi hivi? Mzee Mkapa mmemshutumu sana kwa maneno yake aliyoyatamka pale uwanjani, sasa kuna tofauti gani kati yake na wewe!

Mkuu asante nadhani kama ana busara basi atakua kaelewa.
 
Katika pitapita zangu huku mitaani nimekutana na jambo jipya kabisa. Nimekuta watu wakijadiliana jinsi Lowasa alivyohujumu maendeleo ya mkoa huo alivyokua waziri mkuu.

Wananchi hao wanadai Lowasa kwa makusudi kabisa alitaka ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Songwe uzidi kuchelewa au kufa kabisa.

Wanaendelea kwa kudai kuwa bila Mwandosya kusimama kidete basi ujenzi wa uwanja wa Songwe ungeishia njiani.

Wanadai Lowasa hana mapenzi ya dhati na jiji hilo linalokua kwa kasi hivyo wamejidhatiti kumkata kwa mara nyingine na kura zao wanadai watazipeleka kwa Magufuli.

Kwa anaefahamu, je kuna uhusiano wowote kuhusu kusua sua kwa ujenzi uwanja wa Songwe na Lowasa?

Mjumbe hauawi.

Umeelezaaaa halafu mwisho ulichomaliza nacho unaoneka hufahamu ila unataka kufahamishwa.... ungeweka basi kwa mtindo wa maswali
 
Mm npo Mbeya....ww upo Mbeya ipi?Acha uongo...hapa Mbeya tunakwenda na UKAWA....CCM hawana chao!
 
Umeelezaaaa halafu mwisho ulichomaliza nacho unaoneka hufahamu ila unataka kufahamishwa.... ungeweka basi kwa mtindo wa maswali

Ni kweli sijui mkuu huoni swali kwenye paragraphy ya mwisho?

Cha kushangaza vijana wa Mbowe wanatoka povu badala ya kutoa hoja.
 
Nitashangaa sana kama mbeya wataipa ccm kura.

Mamndenyi, hutakuwa wa kwanza kushangaa... Magufuli mwenyewe anashangaa yafuatayo
1. Toka Tanga hadi mtwara hakuna kiwanda kikubwa cha samaki...
2. Eti serikali inawakopa wakulima....
3. Eti wanachuo wanakosaje mikopo, wakati hela yenyewe ni mkopo...

Mamndenyi, yaani hapo Magufuli hata sijui anamshangaa nani... Sijui JK, CCM au watanzania..??? Afadhali ya wewe umetaja utawashangaa wanambeya...
 
mjinga wewe unaongelea mbeya IPI.?msoga.?mimi npo mbeya habari ya mjini ni 25 October kura kwa lowassa
 
" Mtanzania atakayemchagua LOWASSA anatakiwa kwenda kupimwa akili" by MCHUNGAJI MSIGWA.

nafikili mtakuwa mmesahau hiyo nukuu toka kwa mbunge kipenzi kwa wana CDM..

dah wanasiasa wanabadilika sekunde tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom