Nani alikuwa mtendaji mkuu wa serikali?Kama ni kweli, hayo yote yalikuwa yakifanyika chini ya utawala wa CCM au chama gani!
Katika pitapita zangu huku mitaani nimekutana na jambo jipya kabisa. Nimekuta watu wakijadiliana jinsi Lowasa alivyohujumu maendeleo ya mkoa huo alivyokua waziri mkuu.
Wananchi hao wanadai Lowasa kwa makusudi kabisa alitaka ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Songwe uzidi kuchelewa au kufa kabisa.
Wanaendelea kwa kudai kuwa bila Mwandosya kusimama kidete basi ujenzi wa uwanja wa Songwe ungeishia njiani.
Wanadai Lowasa hana mapenzi ya dhati na jiji hilo linalokua kwa kasi hivyo wamejidhatiti kumkata kwa mara nyingine na kura zao wanadai watazipeleka kwa Magufuli.
Kwa anaefahamu, je kuna uhusiano wowote kuhusu kusua sua kwa ujenzi uwanja wa Songwe na Lowasa?
Mjumbe hauawi.
Nitashangaa sana kama mbeya wataipa ccm kura.
viroba na bangi ukichanganya na akili za kupima kwa kijiko utatoa maamuzi kama haya tumekusamehe bure hakuna aliye msafi
bora ungeandika kiswahili....kweli wewe ni stupid to the maximum......hatareeee!!! Gufuli aka tinga tinga ni balaaahh....mtanyooka tu
Nawafananisha UKAWA na watu wa SODOMA na GOMORRAH,hawa watu ni wagumu sana kuelewa vitu....
Nani alikuwa mtendaji mkuu wa serikali?
Katika pitapita zangu huku mitaani nimekutana na jambo jipya kabisa. Nimekuta watu wakijadiliana jinsi Lowasa alivyohujumu maendeleo ya mkoa huo alivyokua waziri mkuu.
Wananchi hao wanadai Lowasa kwa makusudi kabisa alitaka ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Songwe uzidi kuchelewa au kufa kabisa.
Wanaendelea kwa kudai kuwa bila Mwandosya kusimama kidete basi ujenzi wa uwanja wa Songwe ungeishia njiani.
Wanadai Lowasa hana mapenzi ya dhati na jiji hilo linalokua kwa kasi hivyo wamejidhatiti kumkata kwa mara nyingine na kura zao wanadai watazipeleka kwa Magufuli.
Kwa anaefahamu, je kuna uhusiano wowote kuhusu kusua sua kwa ujenzi uwanja wa Songwe na Lowasa?
Mjumbe hauawi.
Uelewa wako mdogo sn ungeuliza kuhusu kuchelewa kujengwa uwanja lingekuwa swali zr sn kuliko ujinga uliopost ,,,El kwa waziri mkuu kwa miezi kumi na nane vp Pinda aliyekuwa waziri mkuu kwa miaka nane kafanya nn kuhusu huo uwanja???
Kwa taarifa yako hakina mkoa atakao pata.kura nying El kama Mbeya hata Arusha itasubili .
Sory ww ni ke ama me maelezo yangu hayajaisha ili nikumalizie kutokana na jinsia yako
Mkuu povu la nini, eleza tu ueleweke hatugombani hapa.
Hivi kweli niache kumchagua DK MAGUFURI niaende kumchagua LOWASSA ambaye nilimkataa toka akiwa CCM,, kiukweli sioni haja ya kumpigia kura LOWASSA na kumuacha MAGUFURI kwa kila aliye mwelevu na awezaye kufikili.
DR MAGUFURI NDIYE ATUFAAYE KWA SASA,, LABDA MTULETEE MWINGINE TENA 2025 na CCM walete nao mwingine atakayekuwa kilaza na wa UKAWA akawa JEMBE kama MAGUFURI vile..
Katika pitapita zangu huku mitaani nimekutana na jambo jipya kabisa. Nimekuta watu wakijadiliana jinsi Lowasa alivyohujumu maendeleo ya mkoa huo alivyokua waziri mkuu.
Wananchi hao wanadai Lowasa kwa makusudi kabisa alitaka ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Songwe uzidi kuchelewa au kufa kabisa.
Wanaendelea kwa kudai kuwa bila Mwandosya kusimama kidete basi ujenzi wa uwanja wa Songwe ungeishia njiani.
Wanadai Lowasa hana mapenzi ya dhati na jiji hilo linalokua kwa kasi hivyo wamejidhatiti kumkata kwa mara nyingine na kura zao wanadai watazipeleka kwa Magufuli.
Kwa anaefahamu, je kuna uhusiano wowote kuhusu kusua sua kwa ujenzi uwanja wa Songwe na Lowasa?
Mjumbe hauawi.
watu wa mbeya hawatamsahau lowassa aliwadhurumu mradi wa ujenzi wa chuo kikuu cha Mbeya tech na kuupeleka mradi huo arusha tofauti na mipango ya baba wa taifa mwalimu nyerere,alitumia nafasi yake ya uwaziri mkuu kuidhurumu mbeya na kuipendelea arusha sijui nini kilimsukuma kufanya hivyo,anajua yeye na mkewe mama regina.
Acheni unafiki ninyi maccm, juzijuzi tu kwenye mkutano wenu wa NEC mumedhihilisha kwa watanzania na ulimwengu kuwa muna imami na Lowasa tena kwa SAUTI KUBWA KWA KUJIAMINI mbele ya mwenyekiti wenu na viongozi wenu baada ya kumuengua kwa mizengwe! Leo hii munasema nn? Acheni unafiki. Kwenye ufunguzi wenu wa kampeini mkawasema baadhi ya walioondoka ccm kuwa niwaoongo, sasa mm nauliza nani waongo zaidi?