Jang Bo Go
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 854
- 253
Katika pitapita zangu huku mitaani nimekutana na jambo jipya kabisa. Nimekuta watu wakijadiliana jinsi Lowasa alivyohujumu maendeleo ya mkoa huo alivyokua waziri mkuu.
Wananchi hao wanadai Lowasa kwa makusudi kabisa alitaka ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Songwe uzidi kuchelewa au kufa kabisa.
Wanaendelea kwa kudai kuwa bila Mwandosya kusimama kidete basi ujenzi wa uwanja wa Songwe ungeishia njiani.
Wanadai Lowasa hana mapenzi ya dhati na jiji hilo linalokua kwa kasi hivyo wamejidhatiti kumkata kwa mara nyingine na kura zao wanadai watazipeleka kwa Magufuli.
Kwa anaefahamu, je kuna uhusiano wowote kuhusu kusua sua kwa ujenzi uwanja wa Songwe na Lowasa?
Mjumbe hauawi.