Mbeya waapa kumkata Lowassa kwa mara ya pili

Mbeya waapa kumkata Lowassa kwa mara ya pili

"Lowassa ni mtu safi, kilichotokea ni ajali za kisiasa " J. Kikwete

mkuu kama majibu ni rahisi hivi basi hata CCM kumbe ni wasafi na wanafaa kuongoza tanzania miaka 100000 na hatuhitaji kuwakosoa maana ni ajali za siasa...
 
Taarifa za chini chini ni kwamba Magufuli mwenyewe ana mpango wa kumpigia kura Lowassa, sasa mnaosema mtampigia kura Magufuli mnaonekana vituko kwa kweli.
 
Mbeya kwenu ndo itamkataa. Huku mbeya kwetu lowassa ndo habari ya mjini hahaha piipooz
 
mkuu kama majibu ni rahisi hivi basi hata CCM kumbe ni wasafi na wanafaa kuongoza tanzania miaka 100000 na hatuhitaji kuwakosoa maana ni ajali za siasa...
Sasa wewe unapingana na Raisi wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom