thebusdriverclassc
Senior Member
- Jan 16, 2014
- 146
- 66
We umetumwa...c bure
Katika pitapita zangu huku mitaani nimekutana na jambo jipya kabisa. Nimekuta watu wakijadiliana jinsi Lowasa alivyohujumu maendeleo ya mkoa huo alivyokua waziri mkuu.
Wananchi hao wanadai Lowasa kwa makusudi kabisa alitaka ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Songwe uzidi kuchelewa au kufa kabisa.
Wanaendelea kwa kudai kuwa bila Mwandosya kusimama kidete basi ujenzi wa uwanja wa Songwe ungeishia njiani.
Wanadai Lowasa hana mapenzi ya dhati na jiji hilo linalokua kwa kasi hivyo wamejidhatiti kumkata kwa mara nyingine na kura zao wanadai watazipeleka kwa Magufuli.
Kwa anaefahamu, je kuna uhusiano wowote kuhusu kusua sua kwa ujenzi uwanja wa Songwe na Lowasa?
Mjumbe hauawi.
" Mtanzania atakayemchagua LOWASSA anatakiwa kwenda kupimwa akili" by MCHUNGAJI MSIGWA.
nafikili mtakuwa mmesahau hiyo nukuu toka kwa mbunge kipenzi kwa wana CDM..
Katika pitapita zangu huku mitaani nimekutana na jambo jipya kabisa. Nimekuta watu wakijadiliana jinsi Lowasa alivyohujumu maendeleo ya mkoa huo alivyokua waziri mkuu.
Wananchi hao wanadai Lowasa kwa makusudi kabisa alitaka ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Songwe uzidi kuchelewa au kufa kabisa.
Wanaendelea kwa kudai kuwa bila Mwandosya kusimama kidete basi ujenzi wa uwanja wa Songwe ungeishia njiani.
Wanadai Lowasa hana mapenzi ya dhati na jiji hilo linalokua kwa kasi hivyo wamejidhatiti kumkata kwa mara nyingine na kura zao wanadai watazipeleka kwa Magufuli.
Kwa anaefahamu, je kuna uhusiano wowote kuhusu kusua sua kwa ujenzi uwanja wa Songwe na Lowasa?
Mjumbe hauawi.
Si atakuja kwenye kampeni ndo tutajua wamemkataa au vii

Ni kweli na si uongo,hata Sumaye aliamua wajenge uwanja wa ndege wa Arusha kwanza badala ya Mbeya ,anaichukia Mbeya sababu ya Mwandosya na Mwakayembe,angejua watu wa Mbeya hawasahau kama anavyodhani ,watampigia akina Mwakipesile tu.Katika pitapita zangu huku mitaani nimekutana na jambo jipya kabisa. Nimekuta watu wakijadiliana jinsi Lowasa alivyohujumu maendeleo ya mkoa huo alivyokua waziri mkuu.
Wananchi hao wanadai Lowasa kwa makusudi kabisa alitaka ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Songwe uzidi kuchelewa au kufa kabisa.
Wanaendelea kwa kudai kuwa bila Mwandosya kusimama kidete basi ujenzi wa uwanja wa Songwe ungeishia njiani.
Wanadai Lowasa hana mapenzi ya dhati na jiji hilo linalokua kwa kasi hivyo wamejidhatiti kumkata kwa mara nyingine na kura zao wanadai watazipeleka kwa Magufuli.
Kwa anaefahamu, je kuna uhusiano wowote kuhusu kusua sua kwa ujenzi uwanja wa Songwe na Lowasa?
Mjumbe hauawi.
Hayo alikuwa anafanya binafsi kwa kutumia madaraka yake vibaya,alipojiuzuru ndio Mwandosya na Mwakyembe wakafufua ujenzi huo,hata Sumaye pia alitia mtima nyongo kwa kukimbilia kujenga uwanja wa Arusha ,ingali hali KIA ipo hata watu walipolalalamika kuwa ni matumizi mabaya kwani kujenga uwanja mwingine Arusha wakati sehemu nyingine hizo airstrip ni malisho ya ng'ombe baado nae Sumaye akatumia nafasi yake kuujenga uwanja huo,wote wanachukia Mbeya kisa ni Mwandoshya na Mwakyembe.Kama ni kweli, hayo yote yalikuwa yakifanyika chini ya utawala wa CCM au chama gani!
Hayo alikuwa anafanya binafsi kwa kutumia madaraka yake vibaya,alipojiuzuru ndio Mwandosya na Mwakyembe wakafufua ujenzi huo,hata Sumaye pia alitia mtima nyongo kwa kukimbilia kujenga uwanja wa Arusha ,ingali hali KIA ipo hata watu walipolalalamika kuwa ni matumizi mabaya kwani kujenga uwanja mwingine Arusha wakati sehemu nyingine hizo airstrip ni malisho ya ng'ombe baado nae Sumaye akatumia nafasi yake kuujenga uwanja huo,wote wanachukia Mbeya kisa ni Mwandoshya na Mwakyembe.
Katika pitapita zangu huku mitaani nimekutana na jambo jipya kabisa. Nimekuta watu wakijadiliana jinsi Lowasa alivyohujumu maendeleo ya mkoa huo alivyokua waziri mkuu.
Wananchi hao wanadai Lowasa kwa makusudi kabisa alitaka ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Songwe uzidi kuchelewa au kufa kabisa.
Wanaendelea kwa kudai kuwa bila Mwandosya kusimama kidete basi ujenzi wa uwanja wa Songwe ungeishia njiani.
Wanadai Lowasa hana mapenzi ya dhati na jiji hilo linalokua kwa kasi hivyo wamejidhatiti kumkata kwa mara nyingine na kura zao wanadai watazipeleka kwa Magufuli.
Kwa anaefahamu, je kuna uhusiano wowote kuhusu kusua sua kwa ujenzi uwanja wa Songwe na Lowasa?
Mjumbe hauawi.
akatweeeee tu
TAFAKARI EWE UNAYEJIITA MWANA CHADEMA
----------------------------------------------
Inasikitisha sana kuona ukabila na undugu kama huu Tz...
1. Mwenyekiti Chadema taifa- Mh Freeman
Mbowe (mchaga,kilimanjaro)
2. Mkurugenzi wa fedha na uwekezaji - Ndugu
Anthony Komu (mchaga,kilimanjaro)
3. Mwenyekiti Bodi ya wadhamini ya chama -
Mh. Philemon Ndesamburo (mchaga,
kilimanjaro)
4. Mkurugenzi wa Rasilimali wa chama- Ndugu
Suzan Lymo (mchag,Kilimanjaro)
5. Mkurugenzi wa Bunge na Halmashauri -Ndugu
John Mrema (mchaga, kilimanjaro)
6. Naibu katibu Mkuu wa chama - John
Mnyika ( mpare wa kilimanjaro mwenye maskani yake Dar)
7. Mwenyekiti wa Wanawake Halima Mdee (Mpare wa Kilimanjaro mwenye maskani yake Dar es Salaam)
8. Makamu mwenyekiti wa Wazee Susan Lymo (mchaga wa Kilimanjaro)
9. Walinzi wote wa Mbowe (wachaga wa Kilimanjaro)
10. Asilimia 98 ya madereva wa Chama wachaga wa Kilimanjaro
Asilimia 80 ya wabunge wa kuteuliwa wa Chadema wanatoka Kilimanjaro na
Arusha,wakiongozwa na Mrs wa Mbowe wa pili Joyce Mukya, Grace Kihwelu, Suzan Lymo, Lucy Ndesamburo Owenya, Cecilia Pareso, Rebecca Mngodo na Rose Kamili.
11:Tundu Lisu MB na dada yake wa kuzaliwa MB
wa kuteuliwa,
12😀k Wilbroad Slaa katibu mkewe wa ndoa Mb
wa kuteuliwa
13:Mbowe Mwenyekiti Mkewe mdogo Mb wa
Kuteuliwa
16:Ndesamburo Mb mwanawe wa kuzaa MB
kuteuliwa
16:Mtei Mlezi wa chama mkwewe Mbowe
Mwenyekiti wa Chama,
Hii familia inataka iongoze watu zaidi ya milioni
44 haitakuja kutokea katika historia ya Tanzania
Ndio wanafamilia hawahawa waliomtengenezea zengwe la kumfukuza Mh Zitto Kabwe katika chama hiki cha kifamilia baada ya kuona anakubalika ndani ya chama hicho na anauwezo wa kuwa mwenyekiti endapo angechuana na Mbowe lakini si mchaga wala mtu was kaskazini.
Hapo ndipo vikao vya kifamilia vikaanza na kuamua kumtimua Zitto.
Wanafamilia hawa ndio wamemuuzia chama chao Edward Lowassa kwa kiasi cha Billion 10 ili agombee urais kupitia chama hiki! Dr Slaa alipohoji akaambiwa wewe sio mwanafamilia hivyo tulikustili kwa muda tu. Ndipo slaa akagundua kuwa sio chama bali ni SACCOS na kuamua kujiengua.
Mwl Nyerere aliwahi kusema, nanukuu " Mtu anayeonekana anapenda sana kwenda ikulu hafai hata kidogo ni wa kukwepa kama Ukoma".
NDG watanzania huyu Lowassa anavyopenda sana kwenda ikulu tumkwepe. Hizo bilioni 10 alizonunulia chama anataka akazirudishe kwa kutuibia sisi wananchi. ZINDUKA!
Kama amenunua chama akipewa nchi siataiuza kurudisha gharama zake......!!!!?
#SayNo2Fisadi
#FisadiMwikoIkulu
#RestInPeaceFisadi
#NoEntryB