Huyu OCD anaitwa Christopher Msonsa, ambaye ni OCD wa Wilaya ya Kipolisi Mbalizi.
OCD Huyu ameshusha Bendera za CHADEMA Siku ya Leo ,ambayo ni Siku ya Kumbukizi ya Miaka 33 ya kuanzishwa kwa Chadema. Jambo hili ni kinyume na Sheria za nchi yetu. Nadhani Huyu anatakiwa awe mfano wa MaOCD nchi nzima,ili waweze Kuheshimu Haki za Kisiasa Nchini!!.
Jeshi la polisi sio jeshi la samia au la kosiasa au la CCM huku ni kuvuka mipaka na huu ni upumbavu haukubariki na lazima atawajibika.
View attachment 3532626