Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,766
- 894
Tena hapa naona mnanisadia kujenga hoja. Watumishi wakipangwa Lindi, Mtwara Sumbawanga hawataki, wakiambiwa Kilimanjaro, Arusha,, Mbeya wanakwenda. Je hakuna attractiveness hapo.
Si mnakumbuka mikoa fulani iliwahi kufanywa kama mikoa ya adhabu! ni kwanini?
Kwa Machinga hawawezi kwasababu tayari kule kuna machinga ambao ni more advance ndio maana hawaendi. Kule kuna nguvu kazi tayari kwahiyo anayekwenda ajiandae.
Na vipi kuhusu ukweli kuwa ukienda kule unatakiwa uwe mshindani haswa! Hilo mbona hamlijibu. Hamuoni ni sababu ya kuzuia uhamiaji hasa kwa wasioweza kuhimili ushindani?
Huwezi kwenda sehemu ambayo aina fursa za kiuchumi machinga kutoka Mtwara hawezi kwenda kutembeza bidhaa zake Kibosho au Rombo, Waha kutoka Kigoma kwenda Moshi kupeleka biashara wateja wapo?