Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,057
- 16,737
Watu wengine bwana kwa kuleta analysis za kibaguzi.....ndio maana hatushangai kuona Department mzima mmejezana kindugu (watu wa mbeya na kilimanjaro)....
Kila siku kujisifia......Kila siku kuwatukana watu wa Pwani ,eti Mnawaita Waswahili lakini Humuondoki Huku Pwani..kila siku mnadandia magari kuja Dar es salaam....Mshachoka Kuchunana ngozi huko kwenu ?
Hembu tutolee List ya top 20 most successfully entrepreneurs hapa Tanzania..kama hamjajikataa wenyewe...
Mtaacha lini Kujisifia kuukanda kila siku ?
Halafu kama mnajiona nyinyi Mko juu si mhame huku Pwani..
Rudini Maporini Kwenu....
Kijitu Kimeajiriwa Kama Bank Teller Kinapata 500,000 kwa mwezi kinaanza kudhani watu wa mkoa wake wote wana Maisha kama yake...Hiki kinasahau watu wa Mkoa wake wengi wao bado wanaishi maporini huko wakichunana ngozi na kuua Albino....
Halafu hivyo vi-college vya kata mnavyofungua huko maporini mnaviita Universities ?? Hamjawahi Kuziona Universities zilivyo ???
Oh sisi tuna hasira ya Maisha...kajiue basi
Mkuu personally huwa sipendi watu wanao propagate mambo ya ukabila, au kusema vibaya makabila mengine - majivuno yasiyo na tija, wengine tumewahi kutembelea mikoa hiyo mpaka vijijini - utakuta vijijini ni watu masikini sana na vijumba vya kienyeji vilivyo jengwa kiajabu hajabu, uwezi kabisa kulinganisha na nyumba za kienyeji za watu wa pwani ambazo zimejengwa kiufundi sana na wanajuwa sana kujali mazingira hawakati miti ovyo, si hilo tu watu wa pwani ni binadamu wakalimu sana hawana majivuno na kujikweza.
Vyuo vikuu anavyo zungumzai vya mkoani Mbeya ni branch tu za vyuo vikuu husika, Ukija shule za ufundi za VETA mbona vimetapa kaa nchi nzima, siyo vizuri kujaribu kuwafanya binadamu wenzako wajisikie vibaya.