Mbeya na Kilimanjaro: Siri ya mafanikio yao ni nini?

BondJamesBond

Member
Jul 6, 2011
85
60
Hivi kuna sababu yoyote ile inayowafanya wa Tanzania wanaotoka maeneo ya Mbeya na Kilimanjaro kuwa na nyoyo za kuthubutu na kuweza kufanya na hasa kwenye medani ya siasa?

Wanasiasa wao hawana woga, nimejaribu kuwachukia lakini wapi I cant hate their hustle, ukienda Benki unawakuta, Ukienda kwenye michozo wamo, Universities nyingi ziko kwao (hawategemei hand outs za serikali) na hawana mambo ya kuoneana aibu wao wenyewe kwa wenyewe wanaambiana ukweli bila woga. I mean tazama mtu kama 2 Proud alipotokea na mpaka alipofikia, I simply have nothing but respect.

Sasa tazama mikoa ambayo watu hawana maendeleo kama Tanga, Pwani na huko kusini watu hawana hasira yoyote ile na wako more at ease na maisha kama kawaida.

Kweli mtu anaweza kusema kuwa wako more exposed na wana network kila sehem lakini naamini kuwa siri kubwa ya wa Tanzania wanaotoka mikoa hii ni kuwa wao ni watu wa kuthubutu na muhimu zaidi wana CONFIDENCE za ajabu na sijapata ona.

Sasa kama kama wakijipanga vizuri hawa watu sitoshangaa kuona vijana wao (nazungumzia under 32) wakiwa tayari washaandaliwa kuwa movers and shakers in the next 20 years na kama hamuamini tazameni medani ya siasa Tanzania ni akina nani wako more active

Hongereni sana wana Mbeya na Kilimnajaro.
Data & Stats

Mbeya population wanakaribia 2 million

[h=2]Education[/h]

Besides a growing number of secondary schools like Meta, Sangu, Loleza, Mbeya day, Iyunga,Igawilo, UWATA Secondary School, St Mary's Mbeya, St. Francis Girls Secondary School, which the best Secondary School in Tanzania (the leading school in the entire country, has been in that position for couple of years now). Mbeya has some institutes of higher learning education:

  • Teofilo Kisanji University is a young institution of the Moravian Church in Tanzania offering courses in theology,business, arts, sciences and educational studies, as well as training pastors and. Since 2005, it has grown out of the earlier Moravian Theological College. The college is situated at Soweto suburb.

  • Mbeya Institute of Science and Technology (MIST) is a public institution offering degrees, advanced diplomas, and ordinary diplomas in various engineering disciplines. MIST was formerly known as Mbeya Technical College (MTC). The College is at Iyunga area. Currently, it is under the process of being transformed into a full University

  • Mzumbe University (MU) Mbeya Campus is situated in Forest area next to the Bank of Tanzania. This public University offers bachelor degrees and diplomas in law and business, as well as providing evening programs in postgraduate studies.

  • Agricultural Research Institute (ARI Uyole), with a training college and a large research library. This was previously the Ministry of Agriculture Research and Training Institute (MARTI).

  • MARTI-Igurusi is a training college in agricultural sciences, and is similar to the ARI Uyole. Its uniqueness is based on being the only agricultural institution in Tanzania which offers various irrigation courses

  • Shukrani International College of Business Management and Administration is an institution operated by The Salvation Army in Tanzania. Located in the Soweto area of Mbeya, it offers diploma courses in Business Administration, Sales and Marketing, Computer Studies, Office Management and Administration.

  • VETA Southern Highland Zonal Centre is another vocational training college, situated in the Ilomba area.

  • Tumaini University has also opened its centre in Mbeya, at Uzunguni area, which offers various diplomas and certificate courses. The processes are underway in order to open the University College at Uyole

  • The University of Arusha has already opened its centre at SOWETO suburb, which offers various courses there.

  • Mbeya Referral Hospital School for Assistant Medical Officer, the college located within Mbeya Referral Hospital, it offers Advanced Diploma and Diploma in Medicine, Pharmacy, Laboratory and Dental.

  • Tukuyu Teachers College and Makandana Teachers College, they offer Certificate and Diploma.

  • Uyole Social College, belongs to the Ministry of Health and Social Welfare, it offers Certificate in Sociology.

  • Mbozi Mission Nursing College, is under Ministry of Health and Social Welfare.

  • Uyole Teachers College is a branch of Tumaini University.

en.wikipedia.org/wiki/Mbeya#Education

Data za Elimu na mengineyo kuhusu Kilimanjaro hakuna hata kwenye WIKI so nawapa big up watu wa Mbeya kwa kuwa mstari wa mbele online na offline pia
 
Hivi kuna sababu yoyote ile inayowafanya wa Tanzania wanaotoka maeneo ya Mbeya na Kilimanjaro kuwa na nyoyo za kuthubutu na kuweza kufanya na hasa kwenye medani ya siasa?

Wanasiasa wao hawana woga, nimejaribu kuwachukia lakini wapi I cant hate their hustle, ukienda Benki unawakuta, Ukienda kwenye michozo wamo, Universities nyingi ziko kwao (hawategemei hand outs za serikali) na hawana mambo ya kuoneana aibu wao wenyewe kwa wenyewe wanaambiana ukweli bila woga. I mean tazama mtu kama 2 Proud alipotokea na mpaka alipofikia, I simply have nothing but respect.

Sasa tazama mikoa ambayo watu hawana maendeleo kama Tanga, Pwani na huko kusini watu hawana hasira yoyote ile na wako more at ease na maisha kama kawaida.

Kweli mtu anaweza kusema kuwa wako more exposed na wana network kila sehem lakini naamini kuwa siri kubwa ya wa Tanzania wanaotoka mikoa hii ni kuwa wao ni watu wa kuthubutu na muhimu zaidi wana CONFIDENCE za ajabu na sijapata ona.

Sasa kama kama wakijipanga vizuri hawa watu sitoshangaa kuona vijana wao (nazungumzia under 32) wakiwa tayari washaandaliwa kuwa movers and shakers in the next 20 years na kama hamuamini tazameni medani ya siasa Tanzania ni akina nani wako more active

Hongereni sana wana Mbeya na Kilimnajaro.
Wrong analysis leads to wrong conlusions!
Kwani Nape, Tundu Lissu na Zitto wanatoka kipande hiyo?
 
Kwenye harsh and limited life conditions ndio kunakuwa na maendeleo because you either swim or sink. Europe kuna more harsh conditions kuliko most parts of Africa na ndio maana watu wanajituma na kuna maendeleo tunayoyaona.

And this reminds of this joke:
Mzee mmoja wa Kichaga aliekuwa mgonjwa kitandani alimuita mtoto wake mmoja wa kiume ambae maendeleo yake kielimu na kimaisha hayakuwa yanamridhisha baba yake. Kijana alipokuja baba yake akamwambia: "Mwanangu John, nimekupeleka shule umeshindwa, nimekufundisa wisi umeshindwa. Sasa mimi ninakufa utakula mafi yako!
 
Bond James Bond na Wana JF,
Tunashukuru kwa Maoni yako iwapo huo ni Mtazamo wako tu.
Ni kweli kila Mahali penye Mchagga utakuta aka pana Maendeleo na wanajua kutafuta Maendeleo, fanya Utafiti wako.
Pesa ya Mchaga haitoki hovyo, Ndio maana Mwalimu Nyerere akutaka Mchaga kuwa Rais ili kuwapa fursa makabila mengine kuongoza. Yapo Makabila mengine yenye uthubutu kama Wachagga kama ulivyosema, kama Wanyakyusa, Wahaya, na wengine wengi.
My Take: Nchi yetu haina Makabila, Udini wala Ukanda, sote tu Watu aka wananchi wamoja na Taifa moja tu yaani Tanzania.
Nawakilisha.

Hivi kuna sababu yoyote ile inayowafanya wa Tanzania wanaotoka maeneo ya Mbeya na Kilimanjaro kuwa na nyoyo za kuthubutu na kuweza kufanya na hasa kwenye medani ya siasa?

Wanasiasa wao hawana woga, nimejaribu kuwachukia lakini wapi I cant hate their hustle, ukienda Benki unawakuta, Ukienda kwenye michozo wamo, Universities nyingi ziko kwao (hawategemei hand outs za serikali) na hawana mambo ya kuoneana aibu wao wenyewe kwa wenyewe wanaambiana ukweli bila woga. I mean tazama mtu kama 2 Proud alipotokea na mpaka alipofikia, I simply have nothing but respect.

Sasa tazama mikoa ambayo watu hawana maendeleo kama Tanga, Pwani na huko kusini watu hawana hasira yoyote ile na wako more at ease na maisha kama kawaida.

Kweli mtu anaweza kusema kuwa wako more exposed na wana network kila sehem lakini naamini kuwa siri kubwa ya wa Tanzania wanaotoka mikoa hii ni kuwa wao ni watu wa kuthubutu na muhimu zaidi wana CONFIDENCE za ajabu na sijapata ona.

Sasa kama kama wakijipanga vizuri hawa watu sitoshangaa kuona vijana wao (nazungumzia under 32) wakiwa tayari washaandaliwa kuwa movers and shakers in the next 20 years na kama hamuamini tazameni medani ya siasa Tanzania ni akina nani wako more active

Hongereni sana wana Mbeya na Kilimnajaro.
 
sasa linganisha na mkoa wa pwani ambao una watu wengi zaidi.

jibu unalo, watu wa huko mbeya walishafunguka kichwani ndio maana wako hapo wa lipo na within 5 years sitoshangaa wakiongeza Univesrities za zikafikia hata 20 kule

Pwani nzima hakuna University hata moja
 
Watu wengine bwana kwa kuleta analysis za kibaguzi.....ndio maana hatushangai kuona Department mzima mmejezana kindugu (watu wa mbeya na kilimanjaro)....

Kila siku kujisifia......Kila siku kuwatukana watu wa Pwani ,eti Mnawaita Waswahili lakini Humuondoki Huku Pwani..kila siku mnadandia magari kuja Dar es salaam....Mshachoka Kuchunana ngozi huko kwenu ?

Hembu tutolee List ya top 20 most successfully entrepreneurs hapa Tanzania..kama hamjajikataa wenyewe...
Mtaacha lini Kujisifia kuukanda kila siku ?
Halafu kama mnajiona nyinyi Mko juu si mhame huku Pwani..
Rudini Maporini Kwenu....

Kijitu Kimeajiriwa Kama Bank Teller Kinapata 500,000 kwa mwezi kinaanza kudhani watu wa mkoa wake wote wana Maisha kama yake...Hiki kinasahau watu wa Mkoa wake wengi wao bado wanaishi maporini huko wakichunana ngozi na kuua Albino....

Halafu hivyo vi-college vya kata mnavyofungua huko maporini mnaviita Universities ?? Hamjawahi Kuziona Universities zilivyo ???

Oh sisi tuna hasira ya Maisha...kajiue basi
 
niliyemchagga nipokee hizo pongezi kwa mikono na miguu, kwa moyo thabit, na naendelea kuwahimiza vijana toka mkoa kilimanjaro, na mikoa mingine yote, tanzania ni moja, kama tulivo wamoja basi tuchape kazi kwa pamoja,majungu si mtaji wandugu, ukweli ni mzuri hata machoni pa Mungu
 
sasa linganisha na mkoa wa pwani ambao una watu wengi zaidi.

Jibu unalo, watu wa huko mbeya walishafunguka kichwani ndio maana wako hapo wa lipo na within 5 years sitoshangaa wakiongeza univesrities za zikafikia hata 20 kule

pwani nzima hakuna university hata moja

hivi chuo cha sanaa bagamoyo kipo wapi kama si pwani?
 
Wrong analysis leads to wrong conlusions!
Kwani Nape, Tundu Lissu na Zitto wanatoka kipande hiyo?

lazima wewe utakuwa unatoka kusini.penye ukweli ni bora ukakubali. hata mtoa mada hajasema mikoa mingine haina watu wanao thubutu,wapo ila ni wachache sana in comparison.kiukweli wasomi wa LINDI,MTWARA NA PWANI kwa pamoja hawafiki hata nusu ya wasomi wa MBEYA au MOSHI.
 
Watu Wambeya kweli Kama jina Lao lilivyo ni Wambeya mzee wa sumu kugoma kuzungumzia mambo yaliyo msibu.Mbunge wenu amesomaa kweli nyie Wambeya hongereni sana
 
BondJamesBond, Awadhi2009, Pasco, Mchambuzi, Nguruvi3,

..nadhani "ujanja" wao unatokana na kilimo cha zao la KAHAWA.

..mapato ya kahawa yaliwawezesha kuwekeza ktk elimu za watoto wao, kujipenyeza ktk biashara ndogo ndogo na baadaye kuwa wafanyabiashara wakubwa.

..kumbukeni kwamba ndugu zetu toka Kilimanjaro ndiyo walikuwa wakwanza kufanya "umachinga"[miaka hiyo ilikuwa ku-shine viatu na kuuza kahawa] mijini baada ya sekta ya kahawa kupata matatizo miaka ya 80.

..kingine kinachowasaidia ndugu zetu wa Kilimanjaro ni biashara/magendo ya mpakani na majirani zetu wa Kenya.

..tuimarishe KOROSHO, PAMBA, etc mtaona wenyeji wa maeneo maarufu kwa mazao hayo nao wanaibuka na kuleta ushindani nchini, which is a very positive thing.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom